waungwana naombeni kujua huyu aliyejaza hii HATI YA USHINDI wa CDM amemaliza darasa la saba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waungwana naombeni kujua huyu aliyejaza hii HATI YA USHINDI wa CDM amemaliza darasa la saba

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by HAFSA1984, Apr 2, 2012.

 1. H

  HAFSA1984 Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waungwana ukiitizama hii hati ya ushindi aliyopewa ndugu yetu mbunge mteule wa arumeru mbona huu mwandiko ni kama wa mtoto wa chekechea au ndio mkono ulikuwa unatetemeka sana kwa kutojiamini na kila anachokiandika View attachment 50796 View attachment 50796
   
 2. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  vibration ya vidole
   
 3. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hizi ni hati za watu waliopita mido skul brother... yani hapo kajipinda hadi nukta ya mwisho. btw bravo ndugu msimamizi kwa kujitoa muhanga kesho tutasikia umehamashiwa liwale mzee..
   
 4. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sioni tatizo la huo mwandiko !!!!
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haijarishi hata wakati anasoma matokeo alikosea mara tatu kamanda Lema Akanyosha mstari
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mwandiko wa mkurugenzi huo
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Angalia content mwandiko utakusaidia nini mkuu?

  Imesomeka haikusomeka?
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,053
  Likes Received: 7,259
  Trophy Points: 280
  Wewe shida yako ni Rangi ya Paka,
  Au yule anaejua kuwinda?????
  Kama inasomeka tatizo liko wapi???
  Wacha tusheherekee zetu ushindi sisi!!!
   
 9. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  ..sijaona tatizo lolote hapo,unasomeka vizuri kabisa!!
   
 10. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  mbona unasomeka, acheni majungu
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hv atakuwa ni nani huyo aliyeandika?
   
 12. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hahaah jamani badala ya kuangalia muandiko wa "mkurugenzi" ni bora kumpongeza, kimtindo ameonesha ushujaa kwa kuopingana na nguvu ya pesa iliyokuwa inamshinikiza!
   
 13. o

  obseva JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 450
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 80
  Iko njema cnaaaaaaaaaaaaaaaaa.
   
 14. c

  conman Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Mwandiko ni safi sana. Wa watu wa zamani, aghalabu ni wa mtu anatumia kinywaji kwa hiyo mikono imeanza kutetemeka kidogo. But who cares ???
   
 15. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Mwandiko uko poa sana kama wa Waziri Mkuu wetu. Ameshashinda maneno mengine hayana maana.
   
 16. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuuu kule wapo ata wasiyo jua kusoma ni vingozi wa juuu
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hata hivyo kajitahidi hakuna kitu kigumu kama kufanya kitu ambacho lazima kitakuwa na Impact ya kufukuzwa kazi au kuhamishwa kituo cha kazi
   
 18. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Mbona mwandiko poa tu! Je ungeuona mwandiko wa Lusinde ... ?
   
 19. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Mbona mwandiko uko poa sana. Hujaona miandiko ya Maprofesa wewe! Mwandiko wa kisomi kabisa huo, au labda hatujakuelewa
   
 20. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Nimeshaelewa. Kumbe ni Magamba wanajaribu kutafuta sababu ya kukata rufaa.
   
Loading...