CCM muondoeni mh lusinde livingstone kwenye kampeni arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM muondoeni mh lusinde livingstone kwenye kampeni arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Wizzo, Mar 14, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  leo nmehudhuria kampen za ccm ktk kata ya mbuguni kwa kweli ccm haina sera bali matusi ambayo matusi hayo yanaongozwa na lusinde na olesendeka.wazee wambuguni wamekasilishwa na matusi yenu.ntawa2mia crip ya matusi niliyoirekodi
   
 2. Z

  Zulqarnayn Senior Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh lusinde si alikuwa Musoma juzi tu hapa ameishafika Arumeru?
   
 3. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kati ya vichwa ndani ya ccm vinavyolelewa bike kuwa makada na viongozi ni Lusinde kibajaji.

  You can imagine aina ya vision ya ccm na wanakotaka kulipeleka taifa hili!!!
   
 4. m

  mangiakimu Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watatukana mpaka midomo ichubuke, lakini ukweli ni kuwa Nassari ataapishwa kuwa mbunge
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hawa wote ni wahuni!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kuwa na elimu hata kidogo ina maana kubwa sana.
   
 7. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Katika wabunge ovyo kabisa wa magamb huyu ndo nambari one sa cjui ni bange ile kauli aliyowahi kutoa Bungeni kwamba tufunge milango tutwangane makonde mie ndo ilinipa picha kuwa ni kiumbe wa aina gani.
   
 8. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kweli hao Lusinde na Ole Sendeka ni wahuni maana hata kwenye mkutano wa bunge waliisha wahi kumtukana Tundu Lissu lakini baada ya rais wao kumkubali na kuruhusu masahihisho ya muswaada wa katiba mpya,mkutano uliopita Ole Sendeka alikula matapishi yake kwa kuanza kumsifia Tunu Lissu.Hata Joshua Nassari baada ya uchaguzj wataanza kumsifia.
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Hakuna siku kwangu inayopita bila kumpuuza Lusinde. Lusinde ni kama MSUKULE hivi. Hajawahi kuushirikisha ubongo wake hata kwa asilimia 0.00001%
   
 10. F

  Fred Otieno Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 8, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Mmh hiyo comment ya Rev Mzito ni hatari maana sijawahi kuisikia wala kuiwazia .ila nimecheka sana baada ya kuangalia mahusiano ya ubongo na kila koungo cha binadamu.
   
 11. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muacheni jamani atakula wapi, uyo ndiye atawapa ushindi Chadema, atajikanyaga tu, then watu wanapata point ya kuwamaliza.
   
 12. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ole sendeka hovyo kabisa ni bora mwanamke
   
 13. J

  Jeje Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha atukane hana lolote,siku tukichukuia Nchi hii Hutu Lusinde atakuwa wa Kwanza kuchapwa viboko,Hana lolote Mavi ya Kuku tuuuu!!tutashinda tuuu Makamanda
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kha! Ole Semdeka anampigia kampeni mkwe wa mamvi? Si walitoleana bastola naye lushotakiwa mahakamani na kushinda kesi? Kwa gharama za lawyer kulipiwa na Mengi?

  mengi sijui atajisikiaje kwa mjamaa huyu asiyekuwa na fadhila!
   
 15. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  nawasiwasi na system ya ubongo ya huyu jamaa
   
 16. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  eti anasema ccm wamewatia mimba cdm hvyo wasubili kuzaa april 1
   
 17. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kweli magamba wamechoka wamekosa watu wa maana kwenda kunadi sera za CCM wanawapeleka hawa wahuni!
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,669
  Trophy Points: 280
  Mkuu alikuwa anamnong'oneza mwenzake au alipayuka kwa microphone?
   
 19. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimezipata habari hizi kutoka kwa jamaa zangu wa karibu waliohudhuria mkutano wao pale Mbuguni na Shambarai. Kwa hakika waliporomosha matusi ya nguoni, hayafai kuandika humu. Akina mama na wazee waliokuwa wakiwategemea kupata kura wamekasirishwa sana na kitendo hicho. Kwa hakika Sioi atashindwa vibaya katika uchaguzi huu.
   
 20. commited

  commited JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sisiemu wamepoteza umakini kabisa, sisiemi ni wezi tu>>> kuichagua sisiemu ni kuchagua umaskini milele
   
Loading...