Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.
 
Hii ni thread ya kuwatafutia watu BAN. Mods ondoeni huu mzoga.
 
Chadema wakishinda kesho me najinyonga na kitanzi cha kudu mpaka nakufa.
 
Ni rahisi mende kuangusha kabati ila si CDM kushinda...
 
hizo hoja zatoka wapi? hivi kesho mtu anaamka tu na kusema TLP itashinda, then inasaidia nini? au mnadha wameru wanaangalia hayo tunayoweka hapa?
 
Kwa nini hiyo ahadi uchwara yako usikae nayo moyoni mwako? au ungeipeleka Facebook?. Mods fanyeni kazi yenu.

Kijana mods wafanye kazi gani? mimi binafsi na uhuru wangu wakuamua mambo yangu, wewe kinakuuma nini? Kesho tajinyonga Chadema wakishinda.
 
Nilishasema wagonjwa wengi sana Humu jamvini.. Ona huyu anamkufuru hata Mwenyezi Mungu..
 
Back
Top Bottom