Kuelekea ukombozi wa Nchi yetu: Chadema warushe marudio ya M4C Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuelekea ukombozi wa Nchi yetu: Chadema warushe marudio ya M4C Arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Apr 3, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna watu wengi hatukubahatika kuangalia live uzinduzi wa M4C (Movement for Change) huko Arusha. Nasikia ilisisimua sana na ilijaa hotuba za hamasa ya ukombozi wa nchi yetu. Nawashauri Chadema wachochee moto waliouwasha kwa kurudia kipindi hicho cha starTV mara dufu ili moto wa ukombozi uendelee kuwaka ndani ya mioyo ya wananchi. M4C.
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wazo zuri sana.

  Ilisimama sana.
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ulibahatika kuishuhudia live?
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  Nilibahatika kushuhudia live ilikuwa balaa ajeee!! fulu hamasa nilitamani waendelee kuongea.
   
 5. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Siungi mkono hoja!
  Badala ya kurudia kurusha,ninapendekeza wafanye nyingine LIVE mkoa mwingine,had Tz yote itakapo waka moto!
  Ni mtazamo wangu tu!
   
 6. c

  ckcacana Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vizuri ikifanyi kila wilaya ili watanzania wakajitambua walivyo watumwa ndani ya nchi yao.hivyo basi wanahitaji ukombozi wakweli.
   
Loading...