Arumeru tumemaliza kazi, CHADEMA tusilale, sasa iwe boda kwa boda kuwaelimisha wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru tumemaliza kazi, CHADEMA tusilale, sasa iwe boda kwa boda kuwaelimisha wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Jotham, Apr 2, 2012.

 1. B

  Baba Jotham Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Hakika ni pigo takatifu kwa magamba,naamini ni mwanzo mzuri kwetu kuanza harakati za kuuelimisha wananchi pande na kona zote za Tanzania.Napendekeza ya kwamba mwisho wa mpambano wa arusha uwe mwanzo wa mikutano mingi ya hadhara kona zote za Tanzania hasa vijijini kuwajuza wananchi muelekeo wa nchi yetu.Bado kuna sehemu nyingine wananchi wenzetu ni viziwi kama wale elfu 26 Wa arumeru mashariki
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Tuanze na hawa elfu 26 tuhakikishe tumewavua wote
   
 3. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Mje na Tabora kuna viziwi wengi sana.
   
 4. B

  Baba Jotham Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  me nahisi Tabora pana nafuu,Morogoro ndiyo tatizo kabisa,nguvu ya ziada inahitajika
   
 5. s

  suli Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mmh ishu kubwa ipo dodoma wanapowachagua 'hopelec leaders' ka akina lusinde
   
 6. M

  Mwanamtwa Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nilipita kijiji kimoja mkoani Iringa kwa kweli sikuamini kuona serikali ya kijiji inaongozwa na cdm. Makamanda hamieni na Iringa vijijini hasa Kilolo tuwakomboe watu wale kutoka magamba.
   
 7. B

  Baba Jotham Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Jamaa kwa matusi huyoo ,huyooo! cjui ilikuwaje wakamchagua
   
 8. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dodoma wanadanganywa na kale kawimbo ka tutahamia dodoma, dodoma ya watanzania, wanakaa kusubiri ahadi...
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Jitihada zetu sasa tuzielekeze katika chaguzi za Serikali za mitaa!
   
 10. U

  Ubongo Silaha Senior Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Umetoa kauli thabiti
  Ukikamata serikali za mitaa maana yake sera ya chama imefika chini kabisa na kukubalika
  Maana yake umepata jukwaa la kukamata udiwani na ubunge
  Mwisho maana yake tunaweza kuipumzisha CCM
   
 11. B

  Baba Jotham Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Nitashangaa tukiamua kupumzika,bado kaz ipo tusilemae na ushindi huu wa arumeru
   
 12. B

  Baba Jotham Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wamegeuka vifaranga vya kuku wakiamini nyonyo kesho
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... CHADEMA moto mkubwa kwa kila wilaya ya nchi hii kufikisha salamu za WaTanzania wa Arumeru Mashariki kwao.
   
Loading...