Ushauri kwa Chadema: Vincent Nyerere amshughulikie Mkapa katika chaguzi zote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa Chadema: Vincent Nyerere amshughulikie Mkapa katika chaguzi zote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Apr 3, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa jinsi Vincet Nyerere alivyomchezesha kwata la nguvu Mkapa, ninawashauri Chadema kila atakaposogeza mguu kwenye kampeni za uchaguzi Vincent Nyerere ateuliwe na chama kumshikisha adabu. Nilipenda alivyomdhibiti Mkapa kwa hoja nzitonzito kuanzia za familia alizozianzisha na kisha hoja za namna alivyoasisi ufisadi kwa njia ya kubinafsisha njia nyenzo muhimu za uchumi wa nchi yetu alizojenga Julius Kambarage Nyerere.
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Lile zee uaji litaua fasta subiri uone
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Fafanua tafadhari ili ujumbe ufike vizuri
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  usione kimya ujue kuna kishindo chaja
   
Loading...