Mheshimiwa Livingstone Lusinde (MB) alimaanisha haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Livingstone Lusinde (MB) alimaanisha haya

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Njaare, Mar 31, 2012.

 1. N

  Njaare JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Katika mambo yaliyousikitisha umma wa wastaarabu wa Tanzania katika kampeni za Arumeru Mashariki ni kauli chafu iliyotolewa na mbunge wa mtera (sijui ni mheshimiwa au ni kichaa) Livingistone Lusinde. Pamoja na mambo maneno mengine aliyoongea kwa kujiamini ni suala la kudai kuwa Mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini alipata alipata bwana wakati akiwa mahabusu. Ni maneno ya aibu kutoka kwa mwanachama wa chama ambacho serikali yake inajitapa kuwa inafuata utawala wa sheria. Ni kauli ya kusikitisha ila kwa maana nyingine inataka kutupa ujumbe ufuatao:-

  Kwa kuwa jeshi la magereza halijakanusha kutokea kwa kitendo hicho, na kwakuwa maneno hayo yalitoka kwa mtu wa CCM, hii inatuthibitishia kuwa hata kama Lema hakupata bwana, Serikali ya CCM ikishirikiana na jeshi la magereza huwa inaweka mafirauni inaowafahamu ndani ya mahabusu ili kuwafanyia vitendo vibaya watu ambao serikali ya CCM inawabambikizia kesi.


  Kwa kuwa CCM haijamkemea wala kumwadhibu huyo mwanachama wake, hii inatufanya tuamini kuwa serikali ya CCM inafadhili na kusimamia vitendo vya udhalilishaji wa raia wake inayotamba kuwa waliiweka madarakani kwa ushindi wa Tsunami.
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/242467-mh-livingstone-lusinde-under-microscope.html
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wabunge wa CCM Hawana tofauti na wamachinga wa kariakoo na wapiga debe
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Wananchi wakimbeba kumpeleka jukwaani kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

  [​IMG]Hafsa Kazinja wa TOT akikamua Uwanja wa mpira wa Makiba
  [​IMG]Mbunge wa Mtera, Mjumbea wa NEC ya CCM, Livingstone Lusinde aka Kibajaji akihutubia Makiba.
  [​IMG]Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdalla Jma akihutubia mkutano wa kampeni uwanja wa mpira wa kijiji cha Makiba.
  [​IMG] Nchemba akihutubia Makiba

  [​IMG]Maelfu ya watu mkutano wa kampeni za CCM Makiba
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Masikini unatia huruma.Unakipwa shilingi ngapi hadi muda huu unaleta ***** hapa JF?
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe wadharau Machinga lakini ndiyo wapiga kura tunao wategemea.
   
 7. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa wanaojua taifa za mashoga, bila shaka huyu bwana anaweza kuwa ameishaharibiwa kiasi cha kukosa aibu na busara. Maana lugha yake pekee ni ushahidi kuwa si mzima. Anapenda kuwapakazia wenzake yaliyomkuta.
   
 8. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe 'unakipwa' shilingi ngapi na CDM *** *ko we!
   
 9. tokyo1sofala

  tokyo1sofala Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Wafuasi wa CDM walio wengi wamefanana kabisa na wamachinga wa kariakoo, wamejaa ushamba wa kupiga miluzi na kulia uchuro... ovyo kila waonapo kijani. Wana akili hawa ?
   
 10. y

  yplus Senior Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chama chetu cha mafisadi we chauwa nchi
  Chama chetu cha mafisadi chaua nchi
  Naukumbuka huu wimbo kipindi CCM iko chini ya JK Nyerere,toka Mzee kafa,walio baki ni full vituko.
  Mtu kama Lusinde,Mwl angekuwepo angemchapa viboko kama alivyo mchapaga Sita kipindi yuko UDSM anasoma.
   
 11. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45

  Cham chake hakija mchukulia hatua, wanachama wake walishangilia yale matusi ya nguoni ambayo ny ya aibu hata kuyatamka tena mbele ya watoto wadogo kabisa!

  Ni aibu kwa chama,wanachama na watz wote kama huyu mtu hatachukuliwa hatua yoyote.
  Ushahidi upo wazi kabisa, na kama hakuna sheria ya kumtia hatiani kwa namna yoyote ile basi sheria na zetu hazina maana yoyote.

  Ashitakiwe mahakamani,
   
 12. N

  Njaare JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naungana na wewe mkuu. Kipi kifanyike ili afikishwe mahakamani?
   
 13. N

  Nick Sly Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ulichoshindwa kuelewa ni jinsi rangi hiyo ilivyochafuliwa na mafisadi waliojificha humo baada ya kifo cha Baba wa Taifa, imefikia hatua kama ya mbwa kuona shetani usiku, hivyo wanaozomea hawajakosea maana shetani kumwona ni kazi ndiyo maana hata wewe ndugu yetu umeshindwa kumwona, sasa wafuate wanaomwona wakujuze uondokane na hali uliyonayo, usijezidiwa maarifa hata na wanyama wanaoweza kutambua uozo na uchafu wa mafisadi unaotoa uvundo na harufu kali.
   
 14. m

  mubi JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kama binadamu wasio na hatia walipoteza maisha yao katika sakata la mabomu Gongo la Mbota na Mbagala na hakuna aliyewajibishwa? unategemea hili la Lusinde kuhojiwa?
   
 15. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni watanzania au hapana! Maana unataka kutwambia kuwa Ccm ni ya matajiri,na Cdm ni ya wanyonge! Kuna siku unyonge utaushinda utajiri! Hapo ndo kitakuwa kilio cha kusaga meno!
   
 16. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Watu walikuwa wanaenda kusikiliza sera CDM, Watoto na waruga ruga walikuwa wanakuja kuburudika CCM, HV JARIBU KUFIKIR KAMPEN ZA CCM BILA WASANII ZINGEKUAJE, NADHANI HAKUNA AMBAYE ANGEHUDHURIA
   
 17. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huyu sio Mheshimiwa,bali ni mhuni aliyekosa kuelimika na aliyekosa ustaarabu!hii ndio aina ya viongozi wa c.c.m ya sasa
   
 18. N

  Njaare JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anafaa kufungiwa jiwe kubwa shingoni na kutoswa baharini.
   
Loading...