Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tetesi za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba kuna timu ya watu Tisa(9) wamepewa kazi ya kutafuta na kukusanya ushahidi wa maneno machafu yaliyotumika wakati wa kampeni, ili ifunguliwe kesi...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Kulingana na aina ya siasa zinazoendelea katika nchi yetu, imeonyesha CDM itaongeza umaarufu maradufu wakati ccm itapoteza zaidi heshima na kukubarika. Hii imetokana na ushindi uliopataikana...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Jamani hii ni baada ya matokeo ya ubunge wa Lema kutenguliwa eti kisa matusi. Lusinde na Lema nani mtaalamu wa matusi??kwa walioangalia kampeni ya Lusinde arumeru wanaweza changia hoja vizuri.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kila siku linazuka jipya la kuturudisha nyuma kimaendeleo kutokana na maamuzi ya watu wachache ambao wanatuendesha kama gari bovu pasipo wao kutambua kuwa alama za nyakazi haziitaji jicho la tatu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Magamba sio siri wamerogwa, ukifuatilia mambo wanayofanya kwa sasa utalibaini hili 1.Wagawa rushwa namba moja duniani 2.Wauaji na wakatiri 3.Wezi na mafisadi 4.Wanyonyaji zaidi ya wakoloni. Kama...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Kwanza kabisa ni nimpongeze mh. G. Lema kwa kutopoteza muda kukata rufaa. Maana haki haikutendeka kwenye hukumu ya kesi hiyo. Pili ni ishukuru ccm kuamua kumvua ubunge mh. G. Lema maana imekuwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Naona ile dhana ya maisha bora kwa kila mtanzania kwenye ilani ya uchaguzi ccm hatukuielewa..! Kumbe maisha bora ya ccm ni pamoja na kumwaga hela kwenye kampeni tuleeee, na kisha tuipigie kura...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi nashauri Jaji mkuu wa Tanzania sio chaguo zuri na hii ni kama ilivyokuwa Mahita wakati akiwa IGP. Kazi ya jaji mkuu na hata IGP ni kuweka bayana kwa majaji kwamba Mahakama ni Chombo ambacho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Mtwara wanaiuliza NEC ,ni nani anaghalamia Uchaguzi Arusha Mjini?,na ni nani atalilipia SHANGINGI la LEMA alilokopa?,
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni katika mabadiliko ya sheria ya utalii ambapo sheria ya kazi inamtambua mtanzania na sheria mpya ya utalii inamsema mtanzania.Jussa alikataa akataka iwe mzanzibar mvutano uliofikiwa kupiga kura...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu wanajf! Mimi leo nina mawili matatu ninayofikiri ni muhimu 1.Kuwa vyama tofauti haimaanishi uadui na kwamba kila anachosema mpinzani wako ni upuuzi, ujinga na...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!.
1 Reactions
2 Replies
826 Views
Kwa hali hii,CCM bila ya kujua mnaipandisha chat CDM juu kabisa,Ushahidi uko wazi kabisa kwa wizi mlioufanya jimbo la Segerea DSM lakini mmechakachua mpaka mmeshinda kesi,Arusha mmekomalia mpaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sikuhizi simsikii kabisa sijui yupo wapi,katika maisha yake hatomsahau kijana lema kwani huyo kamanda ni mtu jasiri asie ogopa cheo chochote wala mtu yeyote,vijana wa arusha wanachosikitika ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mategemeo makubwa ya MAGAMBA kushinikiza mahakama itengue ubunge wa kamanda Lema ni; CDM kutokubali hivyo kuwahamasisha wafuasi wafanye fujo ndo maana walimwaga askari wengi.Nashukuru Uongozi wa...
1 Reactions
0 Replies
702 Views
11 milion USD ceased by Tanzanian Government working with Swiss government and Swiss Bank
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sasa hivi akili inaanza kuingia akilini kwa nini mtu aseme yuko fit kwa mapambano ili hali hao hao ndio wanaitangaza nchi kuwa ni ya amani. sasa mapambano ya nini tena? sasa hivi ndio tunaanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli mjasiri haachi asili. Nimeipata hii habari kwenye gazeti la Mtanzania. CCM hata wenyewe kwa wenyewe wameibiana kura duh!!!!! CCM waibiana kura Imeandikwa na Maregesi Paul, Dar es Salaam...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kauli tata zimekuwa zikitolewa na viongozi wa vyama vyetu vya siasa,vyombo vya usalama vyetu na viongozi wetu wa serikali wamenyamaza tu.Wanadai Mwanza hapatakalika,wote wanatoa masaa...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Kwa kitendo cha kumuengua Godbless Lema kwa hila chafu imeedhihirisha wazi wazi kuwa Serikali ya sisiemu haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo watanzania bali ipo kwa madhumuni ya kuwanyonya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom