Chondechonde viongozi wa vyama vyetu na vyombo vya ulinzi na usalama. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chondechonde viongozi wa vyama vyetu na vyombo vya ulinzi na usalama.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by S.N.Jilala, Apr 5, 2012.

 1. S

  S.N.Jilala JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 80
  Kuna kauli tata zimekuwa zikitolewa na viongozi wa vyama vyetu vya siasa,vyombo vya usalama vyetu na viongozi wetu wa serikali wamenyamaza tu.Wanadai Mwanza hapatakalika,wote wanatoa masaa kushinikiza waliohusika na shambulio la usiku wa kuamkia 2/4/2012 pale Mwanza watawatafta na kuwakamata wenyewe.Tunachukulia poa lakini tunaelekea pabaya. Dhuluma ya haki,upendeleo wa vyombo vyetu vya usalama kama watu wanavyosikika ni hatari kwa msitakabadhi wa Taifa letu. Ombi naomba serikali iingilie kati vitisho vnavyotolewa na viongozi wa vyama huko Mwanza.Na siyo kusimama na kuona upande mmoja tu ndiyo wanamakosa. ANGALIZO LANGU NI HILI BILA HAKI KUTENDEKA KWENYE CHAGUZI ZETU TUNAJIANDALIA MAUAJI MAKUBWA NA MSIJIDANGANYE KUWA MNAOHUSIKA MTAKWEPA,DAMU YA WATU MTADAIWA TU,HASA MNAOJIONA NI WENYE MAMLAKA YA KUTENDA KITU CHOCHOTE HATA KAMA NI KINYUME NA HAKI ZA BINADAMU.
   
Loading...