Mmeelewa kwa nini baba mkwe alisema yuko kwenye mapambano ili hali nchi yetu ni ya amani?

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
Sasa hivi akili inaanza kuingia akilini kwa nini mtu aseme yuko fit kwa mapambano ili hali hao hao ndio wanaitangaza nchi kuwa ni ya amani. sasa mapambano ya nini tena? sasa hivi ndio tunaanza kuelewa kuwa mapambano ni ya aina gani. hadi magogoni wamekurupuka kujibu hoja ujue kuna jambo na wao wanafuatilia kila kitu kwa ukaribu sana
 
Back
Top Bottom