Kesi ya Jimbo la Segerea CCM mliiba na mmeshinda,Arusha Mnawazingua CDM

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Kwa hali hii,CCM bila ya kujua mnaipandisha chat CDM juu kabisa,Ushahidi uko wazi kabisa kwa wizi mlioufanya jimbo la Segerea DSM lakini mmechakachua mpaka mmeshinda kesi,Arusha mmekomalia mpaka mmemvua Ubunge Lema.
Kwa hali hii kama CDM itashinda,mkae mkijua mnaipandisha chat na kila mnapoipiga fitina,Wenzenu CDM wanawasemelea kwa wananchi ambao ndio wapiga kura.
CCM take care.
Nawasilisha.
 
Segerea hukumu bado
 
Back
Top Bottom