Ccm njooni mmwage hela zenu arusha tule na nyingine tupeleke chadema

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Naona ile dhana ya maisha bora kwa kila mtanzania kwenye ilani ya uchaguzi ccm hatukuielewa..!
Kumbe maisha bora ya ccm ni pamoja na kumwaga hela kwenye kampeni tuleeee, na kisha tuipigie kura chadema..,naona walianza wenzetu igunga, wakaja arumeru na sasa arusha ni zamu yetu ya kumwagiwa mihela..,ccm oyeeeeeee..,nape oyeeee, nimewamic sana ze comedy na tot plus, na ninmpango wa kutengeneza vitambulsho vingi feki vya kura ili niwauzie ccm..,jamani jamani natamani uchaguzi uwe kesho
 
Hapa ni cdm kwa kwenda mbele,liberation continues,through by-election people shall be concitized.lema shall be the mp,and thatz what should be now and thereof,people's....
 
Back
Top Bottom