Posted on April 4, 2012 by zanzibaryetu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Ramadhan Abdalla Shaaban,kuwa Waziri wa
Ardhi.Makaazi,Maji na...
Wana Jamvi, nimesikia mara kwa mara CCM wakisema ''Wapinzani wameandika kwenye mitandao yao'' hii mitandao ya wapinzani sijapata fursa ya kuisoma. napenda sana kujua Sera za wapinzani. naombeni...
Jeshi la Polisi liko matatani. Polisi wetu wanawaona wananchi kama maadui zao kiasi kwamba hakuna ile heshima ya polisi kwa raia. Tumeyaona Nyamongo, tumeona Songea na sasa yametokea tena Mwanza...
Baada ya juhudi za CCM za kutaka kudhihirisha kuwa wanataka mtu asiyejua huko wanakolipeleka taifa ni kwenye upambavu na hatari kama alivyosema mwalimu kwenye hii hotuba fupi, leo hii wamefanikiwa...
Diwani mteule wa Kata ya Kirumba kwa tiketi ya Chadema, Daniel Kahungu ameelezea namna viongozi hao walivyoshambuliwa.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Kahungu ambaye aliibuka mshindi katika...
Baada ya Lema kukataa kukata rufaa dhidi hukumu ya kutengua Ubunge wake ni wazi uchaguzi utafanyika ndani ya siku 90 kwa mujibu wa sheria.
Kwa nini NEC isitumie muda huu kufanya marekebisho ya...
Nimeamua kutangangaza mapema kuuza kura yangu ya Urais mwka 2015. Nitauza kura yangu kwa shilingi 0 kwa mgombea atakayekuwa tayari kurudisha azimo la Arusha. Ambaye atakuwa tayari tuwasiliane.
Natambua kwamba Mwanasiasa kama January Makamba ni mfano wa kuigwa kwa vijana,kutokana haiba na uwezo wake wa kujenga hoja na kuwasilisha katika jamii,lakini kisiasa January ni mwepesi mno...
Ingekuwa vyema baada ya Mbunge mteule kuwashukuru wana Arumeru kule Arusha akatumia muda kidogo kuwashukuru wapenzi wa CDM walioko Dar kama ishara ya kuwawakilisha wengine tuliopo mbali mikoa...
Kwa kweli Chadema imewashtua sana CUF. Chadema inakua kama moto wa kichaka wakati CUF inazidi kudorora. Muafaka hasa ndio umeiua CUF maana wanamezwa na CCM na ni vigumu kuitofautisha CUF na CCM...
Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema
tumsaidie ndugu yetu lusinde shule za kata zipo nyingi. tumrudishe darasani. ... huyu jamaa tusimlaum nlipata bahati ya kujua elimu yake. kumbe ameishia darasa la saba bana. akaenda kusoma chuo...
Waziri Ngeleja akisakata rhumba kwa kukata kiuno.
Mbunge wa Afrika Mashariki, Dk. Amani Walid Kabouru (kushoto) na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga wakisakata muziki.
Akihutubia...
SIOI SUMARI ALITOSWA NA VIGOGO WA CCM MKOA, WILAYA, WAFUASI 61 WA CHADEMA WATIWA MBARONI, WADAIWA KUVUNJA KIOO GARI LA KAMANDA WA POLISI
MAMBO mengi zaidi yamezidi kuibuka kuhusu uchaguzi wa...
Endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashindwa kumdhibiti kada wake maarufu E. Lowasa ni wazi watakuwa wamekiweka chama chao mashakani sana. Haya yanathibitishwa na tuhuma nyingi sana dhidi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.