Is money ceased from her secret account11 milion USD ceased by Tanzanian Government working with Swiss government and Swiss Bank
Za nani Mkuu? Ka source Mkuu?Is money ceased from her secret account
Is money ceased from her secret account
Mkuu ka source? Zinaingia serikalini kuimarisha sekta ya afya? Tusije tukasikia amepata cardiac arrest!Is money ceased from her secret account
Jamani msichoelewa ni nini?.Issue iliyopo hapa ni kuwa fedha za kifisadi zipatazo USD 11m za Bi Nyoni zimedakwa na Serikali kama ilivyotokea kwa Kigoma Malima.
Kwa hiyo tutegemee nini? Yaliyompata Prof. Malima?Jamani msichoelewa ni nini?.Issue iliyopo hapa ni kuwa fedha za kifisadi zipatazo USD 11m za Bi Nyoni zimedakwa na Serikali kama ilivyotokea kwa Kigoma Malima.
Mkuu ku cease nadhani ni kuzuia account isifanye kazi hadi mambo fulani yafanyike na hiyo ya kwako ni kuchukua.nadhani the correct word is "seized" which means to take legal possession.