Nahisi hili litatokea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi hili litatokea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hamidshaban, Apr 5, 2012.

 1. h

  hamidshaban JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!.
   
 2. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  hilo lipo wazi mkuu,kuna info nitakuja nazo soon

  kuna mambo yameanza kufanywa na ccm huko jimbo la Segerea kuashiria uchaguzi upo karibu
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu nakuunga mkono juu ya hili! dalili ziliishaanza kuonekana katika uchaguzi Arumeru mashariki. Tundu lisu na John Mnyika hawakupata muda wakutosha kushiriki coz walibanwa na kesi zao za uchanguzi majimboni mwao. viongozi chadema kuweni makini!
   
Loading...