Chadema kuongeza umaarufu hadi vijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuongeza umaarufu hadi vijini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ufipa-Kinondoni, Apr 6, 2012.

 1. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,467
  Likes Received: 2,137
  Trophy Points: 280
  Kulingana na aina ya siasa zinazoendelea katika nchi yetu, imeonyesha CDM itaongeza umaarufu maradufu wakati ccm itapoteza zaidi heshima na kukubarika. Hii imetokana na ushindi uliopataikana katika uchagunzi mdogo wa Ubunge Arumeru Mashariki, pia pale uchagunzi wa kumrudisha Lema ukifanyika na akishinda CDM itaongeza kuaminika zaidi kwa wananchi wote na kukubali kauli ya "kama wao wameweza kwanini sio...". Hii ya Lema ni njia ya kuporomoka kwa sissem hapa nchini. We subiri.
   
Loading...