Lusinde na Lema nani mwenye matusi?

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Jamani hii ni baada ya matokeo ya ubunge wa Lema kutenguliwa eti kisa matusi.
Lusinde na Lema nani mtaalamu wa matusi??kwa walioangalia kampeni ya Lusinde arumeru wanaweza changia hoja vizuri.
 
Hakika ilikuwa ni aibu tena aibu kubwa kwajinsi ambavyo Lusinde aka kibajaji alivyokuwa akiporomosha matusi tena mbele ya watoto wa shule bila woga alafu ktk gazeti moja la leo kiongozi mmoja wa juu wa chama chake ambaye nilidhani kwa umri wake angelikemea jambo hili lakini amelibariki,nimemshangaa sana.kwa matusi Lema ni hakuna mbele ya LUSINDE.Ukitakakuthibitisha nisemayo nenda hapa Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube utajionea mwenyewe na upime nani zaidi
 
Ingekuwaje kama CCM ingeshinda Arumeru? Sioi angeweza kupigwa chini kwa sababu ya matusi ya Lusinde?
 
Jamani mi ngoja niwe mpole tu maana..ndo kwanza natokea mochwari ban!awa wanainji wa kijani awa..wanantia hasira na mambo mengne yasiyo na haki,zaid ya ubabe wa ajabu.
 
Swali lako ni kama kuuliza kati ya mbwa na tembo yupo mkubwa? Lusinde ni anga nyingine kwa matusi, hana mpinzani.
 
bwana wangu mimi nimejiuliza hili sana ila kwa kweli bado kinaniuma kuwa lusinde ni mbunge jamani hivi wanasheria hamna jinsi huyu bwana anaweza kuvuliwa ubunge hata tu basi apewe heka heka yule mzee aliyemshitaki lema amesema ni kwa ajili ya maadili na nidhamu, je chadema hatuna wananchi wenye moyo na chama ambao ni wanasheria wenye uwezo wa kumpeleka puta kidogo tu na kumfungua akili lusinde,please please lets get only ten committed Chadema members and good lawyers to teach this man and his party a lesson.
 
Kumshtaki Lusinde ni kumuonea bure!
Mgonjwa wa akili ni swala la kumkamata na kumpeleka Milembe.
 
lusinde mtata kwa matusi wee acha kabisa ,ni kama mwalimu ashindwi mtihani kwani ye ndo kautunga
 
Nakumbuka Lusinde alitamka kwamba Lema ana mume kule magereza, tena akasema Dr. Slaa akitembea utafikiri kajinyea. Je haya si matusi? Je mamlaka ya sheria itatakiwa ichukue hatua gani dhidi ya Lusinde na Wassira?
 
Back
Top Bottom