Taarifa za LEMA zilivyopokelewa Mtwara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa za LEMA zilivyopokelewa Mtwara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nabwada, Apr 5, 2012.

 1. N

  Nabwada Senior Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana Mtwara wanaiuliza NEC ,ni nani anaghalamia Uchaguzi Arusha Mjini?,na ni nani atalilipia SHANGINGI la LEMA alilokopa?,
   
 2. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hivi jamani kila kitu lazima kupost jf? Hili swali si unaweza kumuuliza hata jirani yako tu? Akili za wapi hizi?
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tatizo ni la mods waliozuia guests
   
 4. w

  wajinawangu Senior Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni zero kwa kweli kama huna cha kusema! basi ya wenzio kaka.
   
 5. k

  king ndeshi Senior Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  god knows
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  kama unatoka mtwara basi vizuri bila shaka tutaanza kupata mabreaking news kutoka huko coz habari za huku zilikuwa zinachelewa kufika. karibu sana.
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Watu wa Mtwara wengi ni wanakafu, sishangai kupost hili shuzi
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kumbe wageni hawatakiwi tena!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Watu wa Mtwara wameuliza swali la msingi linaitaji majibu.
   
 10. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  unazungumzia mtwara ipi? hii ya tanzania au? Nijuavyo mimi mtwara ni cuf na ccm. hilo swali ni lako wewe binafsi.
   
 11. s

  silao Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akaribie lakini ameanza kutoa fyongo, huyo Lema anamsikia tu na kumuona kwenye TV lakini swala la gari na mambo mengine ni vitu vidogo sana. Hujiulizi kwa nini wanamuogopa hivyo. Unafikiri Arusha ni sawa na MAHUTA? Toa vitu vya kueleweka na sijui huyo MURJI wa CCM mnampendea nini hapo mjini Mtwara leteni mabadiliko muda ndiyo huu msisubiri watu wa Arusha waanze ndiyo mfuate. Mtazidi kuwa wa nyuma tu. Narudia badilika weweeeeee.:flypig:
   
 12. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,111
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Nani atakayelipa shangingi la marehemu Sumari kwani nae alikuwa mbunge
   
 13. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Pipoz pawa tunaweza kuchangia kumnunulia Lema shangingi. Tofauti kubwa kati ya CDM na vyama vyenu vya kiTWANA ni kuwa CDM mali sio motivation ya kuwa mwanasiasa. Ona watu kama Nape utumwa wa kupanda V8 unamfanya hata akiambiwa akaoshe vyombo kwa Laigwanan anaenda tu
   
 14. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dah!. kumbe wanamtwara mpo jf karibu sana.
   
 15. m

  malaka JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kazi kweli kweli.
   
 16. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  hao nao ni wanamageuzi
   
Loading...