Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya siasa dhahiri wataona kua sisiemu ni aibu tu na kupoteza imani wa kwa wapiga kura wake ndicho watakachokipata arusha.hii inadhihirisha ni kwa mamna gani...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
kutokana naamuz yaliyochukuliwa na mahakama kuu ya arusha kumuengua lema inaamaana kua ndani ya siku tisini tume yauchaguzi inatakiwa itangaze uchaguzi mwingine swali serikali ye2 inapata fhedha...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
:shock: WANACHADEMA poleni sana kwa kipindi hiki kigumu kwetu kwani magamba wameamua kuzima furaha yetu ghafla,kinachotakiwa kipindi hiki ni kutulia na kutafakari kuwa nini kifanyike ili...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Kesi imeisha mahakamani hukumu ya mwisho iko kwa wananchi. Je itaamliwaje bila mlalamikaji? Kumbuka tangu kesi ifunguliwe waliokuwa bize na kesi ni wapambe . Mwenyewe alishajua amesbindwa...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
katika hali inayotafsiriwa kuwa chadema wamejipanga katika kuleta mabadiliko katika jimbo la arumeru mashariki,utekelezaji wa ahadi za mbunge mteule kutoka cdm bw. Joshua nassari umeanza rasmi...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Baada ya kampeni kubwa sana zilizofanyika igunga mimi nimebaki na swali moja la msingi, hivi kama kila miezi mitatu kuwe na uchaguzi wa mbunge mmoja kwa sababu mbunge awe amefariki au amevua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
One of the sociological lesson i learnt a time ago is " The laws are there to Protects the interests of the ruling class". Great thinkers let us discuss this according to what happened today in...
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Labda J K Nyerere angekuwa Rais Leo, Kuna baadhi ya viongozi wetu wasingenusa hata chembe za uongozi! Hata wa kijiji! Leo hii uongozi ni kwa kujuana either Ni ndugu au ndugu wa mbali au ni Mtoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza viongozi wa CDM na Wanachama wake kwa kuweza kupambambana na mafisadi mapapa kama tulivyoona kwenye mchakato wa uchaguzi hivi karibuni.. Ni ushindi wa Wanyonge...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Ndugu zangu napenda nitumie nafasi hii ili niweke mawazo yangu huru juu ya kile ninachokifikiria kuhusu nini CDM ifanye pale Arusha Leo hii tumeshuhudia mahakama ikiacha kazi yake na kuvamia...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
wadau, rais mpya wa senegal, macky sall ameteua baraza dogo la mawaziri lenye watu 25 huku yossour ndour akipewa wizara ya utamaduni na utalii. baraza lililopita la babu wade lilikuwa na watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I was thinking that it is now hi time we eliminate CCM as a party and replace it with CDM. Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao. Kila mtu aliyeguswa na udhalim huu na akasikia uchungu aandike...
1 Reactions
0 Replies
791 Views
Wakati mfumo wa vyama vingi unaanza, kulikuwa na mwamko wa namna Fulani uliopelekea hata mabadirioi katika mahakama zetu. Kuna kesi nyingi tata zilitafutiwa ufumbuzi kwa kimtazamo wa sheria pamoja...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Wanachama na wafuasi wa CHADEMA siku zote muwe wavumilivu katika siasa ni kawaida kwenye furaha na huzuni. CCM ni wakomavu, Arumeru Mashariki tumelalia pua, tukasema OK. Nyie mkawa na furaha,leo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa ujumla ushindi wa Chadema haukuwa rahisi kwani wenzetu wana kila aina ya mbinu za wizi. Na tulikuwa tunaomba muda wa kupiga kura umalizike haraka, zaidi wakati wa kujumlisha hali pia ilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Source Nipashe Katibu mkuu wa Magamba Wilson Mukama amefagilia matusi wa gamba mwenzie mh Deadstone na kusema kayafanya hayo kwa kuwa alikuwa anajibu mapigo ya Chadema My take Watanganyika...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Wapenzi wote wa chadema na wapenda mageuzi wote waTanzania tuwe tayari kumchangia lema garama za kesi. Je mko tayari?.
10 Reactions
38 Replies
4K Views
Katika hatua nyingine, Shahidi wa 14 wa upande wa wadaiwa katika kesi ya Uchaguzi Jimbo la Segerea, Samuel Bubegwa amekiri mahakamani kuwa matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa jimbo hilo, Dk...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
  • Closed
Huyu ndie mgombea wa CCM wa ubunge jimbo la Arusha. Anaitwa Namelok Edward Sokoine. Kwa mtaji huu, Lowassa camp vitani tena kumnadi!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
...Uongozi wa CHADEMA mkoani mwanza ukiungwa mkono na uongozi wa kitaifa wa CHADEMA wametoa masaa 36 wahuni na majambazi wa CCM waliowavamia wabunge wa ilemela na Ukerewe wakamatwe.La sivyo nguvu...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom