Kinachofuata ccm! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinachofuata ccm!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BORNCV, Apr 5, 2012.

 1. BORNCV

  BORNCV JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza kabisa ni nimpongeze mh. G. Lema kwa kutopoteza muda kukata rufaa.
  Maana haki haikutendeka kwenye hukumu ya kesi hiyo.
  Pili ni ishukuru ccm kuamua kumvua ubunge mh. G. Lema maana imekuwa kama amempiga teke chura aliyekuwa anajiandaa kuruka kuelekea upande ule ule, kila mtu anajua hata Mh. Rais wetu kwambo ccm imekosa muelekeo imelewa uroho wa madaraka, inanuka damu ya wananchi waliokufa kwa kukosa huduma bora. Ifikapo mwaka 2016 tutahakikisha viwanja vyote vya michezo kila mkoa ambavyo ccm inasema ni vyao na majengo yote ya gorofa yaliyokuwepo kabla ya vyama vinataifishwa na kurejeshwa sekalini, na viongozi wote wakuu wa nchi waliotumia madaraka vibaya tutawafungulia mashitaka.
   
 2. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa, tunapambana kufa na kupona kuhakikisha ccm inaondoka madarakani, ikiwezekana kabla ya 2015
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ni mwamko safi sana na nimefurahi mh. hakukata rufaa, ngoja thithiemu waaibishwe tena kupitia sanduku la kura!
   
 4. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CCM kwaherini, mmejitengenezea jeneza wenyewe Arusha na Tanzania kwa ujumla, sasa nimeamini ni vigumu ccm kufika 2015ikiwa na uhai

  • :smile-big:
   
 5. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  CHADEMA kwa Arusha mjini lazima itashinda ktk uchaguzi mdogo
   
 6. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
 7. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siyo kuwafunguli mashitaka tu! KWELI WATATUKOMA. Lowasa hautakua kiongozi wa munduli milele. Haya
   
 8. MZEE WA ROCK

  MZEE WA ROCK JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  masabuli, masabuli, masabuli masabuli masabuli, watu bwana kwa kufkiilia kwa kutumia masabuli, kuipenda ccm lazima uwe punguani kwa kichwa yako.
   
 9. silvemaps

  silvemaps Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kunakitu kwenye mpira kinaitwa jarambe.sasa hizi chaguzi ni jarambe kwa chadema towards 2015
   
 10. i

  isoko Senior Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  si mdau wa redio ya wafu lakini nimeipenda hii 2012 dunia yako chaguo lako chagua kuwa na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi chagua kutengua ubunge. Hii ndo tanzania bana tusifanye makosa 2015
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Chadema Arusha ni kama JAPENGA mtawakoma. Ushindi wa sunami waja!
   
 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Hivi ccm hawajui kuwa wanaamusha mabadiliko kupitia hizi chaguzi ndogo, mi nahisi mzee EL anawatesa ccm kwa kuwa keshaona hakubaliki si kwa wananchi tu bali hata ndani ya ccm, sasa kaamua kuipoteza ccm mazima au anapima upepo, keshaona arumeru ambako mkwewe alivyochanwachanwa na kijana Nasari, lakini huku arusha anapima upepo ilihali kumbe si upepo bali ni tufani la katrina
   
 13. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kinachokuja Tnz,hii ni umwagikaji wa damu nyingi isiyo na hatia Tena viongozi wengi watakufa sana! Hili ni agizo toka kwa Mungu.
   
 14. E

  Eyoma Senior Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nawazia namna gani mpiga debe yeyote atakavyoipigia debe ccm kwene kampeni uchaguzi mdogo Arusha mjini.mmhm itakuwa kama wanajianika juani.nauliza ujasiri huo utatoka wapi?tunasubiri
   
 15. M

  MADINDA Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tukio la ARUMERU ni dalili kwamba chukua chako mapema(CCM) muda wake umeisha na sasa hivi tuna machungu na wabunge wao wanaotaka kuongezewa mishahara eti kwa kisingizio cha kupanda kwa gharama za maisha,U HAVE NO SHAME AT ALL
   
Loading...