Mtoto wa mkulima lazima afanye pati kiboko yake kupigwa chini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa mkulima lazima afanye pati kiboko yake kupigwa chini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by massai, Apr 5, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sikuhizi simsikii kabisa sijui yupo wapi,katika maisha yake hatomsahau kijana lema kwani huyo kamanda ni mtu jasiri asie ogopa cheo chochote wala mtu yeyote,vijana wa arusha wanachosikitika ni watampata wapi mtu jasiri kama kamanda lema.pinda baada ya kuwa amelewa sifa za kijinga na mijimakofi anayopigiwa bungeni na magamba wenzake kamanda lema akaona ngoja nimtoe nishai ndio akasimama kijasiri akamwambia mzee acha uongo simama katika ukweli,hata sisi tumeokoka kwa hiyo tukikaa kimya tutakua wanafiki,alitoa michozi,simnajua tena huwa hachelewi kulia akibanwa.
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  sawa umesomeka
   
 3. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ha ha ha! Sura ngumu ila maamuzi Laini. Pinda ni joka la kibisa. Hana maamuzi kabisa. Yule ni mbumbumbu mwingine. maskini wa Tz sisi hivi hawa viongozi wetu ni watu wa aina gani?? Foolish kabisa
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  mh!pole baba tunu nec wanapiga kipenga sio mda!
   
Loading...