Aliyewaroga alikufa na akazikwa na dawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyewaroga alikufa na akazikwa na dawa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PRISCUS JR, Apr 5, 2012.

 1. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Magamba sio siri wamerogwa, ukifuatilia mambo wanayofanya kwa sasa utalibaini hili 1.Wagawa rushwa namba moja duniani 2.Wauaji na wakatiri 3.Wezi na mafisadi 4.Wanyonyaji zaidi ya wakoloni. Kama wamediriki kuwakata mapanga wabunge wa cdm,wamebeba kura kwenye hotpot, wameiingilia maakama basi wamekwisha. arusha itawaghaliumu zaidi
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Acha matusi.
  Magamba hatujarogwa bali tumekosea masharti ya mganga wetu Tall Water!
   
 3. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Heri mimi sijasema!
   
Loading...