Kikulacho kinguoni mwako; Serikali ya CCM inatunyonya, haitujali, itatumaliza!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Kwa kitendo cha kumuengua Godbless Lema kwa hila chafu imeedhihirisha wazi wazi kuwa Serikali ya sisiemu haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo watanzania bali ipo kwa madhumuni ya kuwanyonya wananchi wake na kuwadhorotesha na kuwafanya masikini wa kutubwa kwa manufaa yao (ccm) wenyewe ya kutawala.
Ni jambo la kushangaza kila kukicha kuingia katika chaguzi ndigo ambazo zinagharimu mabilion ya shilingi za nchi masikini kama Tanzania. mwezi january alikaririwa Msajiri wa vyama vya siasa ndugu John Tendwa akisema uchaguzi mdogo mmoja (by election) unagharimu si chini ya BILION 19 za kitanzania. juzi ilikuwa Igunga, jana Arumeru Mashariki, na kesho ni Arusha kesho kutwa je? mnategemea kwe mwendo huu maendeleo yatafikiwa? hapa kazi ipo!
 
Tatizo ni mbunge ambaye hajui nini maana ya kuwa mbunge, lema hakujua kuwa mbunge ni cheo muhimu hivyo unatakiwa kuwa na kauli nzuri na maneno yenye hekima,si kuropoka na kusababisha hasara kama hii,km asingeropoka wapi ccm wangempatia nafasi ya kumuangusha?
 
Hakuna ushahidi juu ya hilo tofauti na tetesi mkuu!
 
Hakika ukitaka kujua nguvu na hasira za mlevi, wewe mwaga POMBE YAKE,ccm inatamani, na inataka kujua hasira na nguvu za wana Arusha na watanzania kwa ujumla wake. Marudio ya uchaguzi huu, yataifanya ccm ifahamu hasira za watz kwa sasa zikoje. Hata robo ya kura walizozipata 2010 hawatazipa tena. Wametufilisi tangu zamani na wanaendelea kufanya hivyo.
 
Tatizo ni mbunge ambaye hajui nini maana ya kuwa mbunge, lema hakujua kuwa mbunge ni cheo muhimu hivyo unatakiwa kuwa na kauli nzuri na maneno yenye hekima,si kuropoka na kusababisha hasara kama hii,km asingeropoka wapi ccm wangempatia nafasi ya kumuangusha?

Unamaana gan kusema ivyo? inamaana hao wabunge wa ccm (lusinde, wassira etc) ndio wanakauli nzur kwa wananch? acha kujipendekeza ww.
 
Mkuu huyu bwana ni kada mwenye damu ya kijani! ACHANA NAE!
 
Hakika ukitaka kujua nguvu na hasira za mlevi, wewe mwaga POMBE YAKE,ccm inatamani, na inataka kujua hasira na nguvu za wana Arusha na watanzania kwa ujumla wake. Marudio ya uchaguzi huu, yataifanya ccm ifahamu hasira za watz kwa sasa zikoje. Hata robo ya kura walizozipata 2010 hawatazipa tena. Wametufilisi tangu zamani na wanaendelea kufanya hivyo.

Haswaaaaaa, ni kama wamemshika chui sharubu!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom