Mategemeo ya magamba baada ya kupokonya ubunge wa lema arusha mjini

Baba C

Senior Member
Mar 15, 2012
125
55
Mategemeo makubwa ya MAGAMBA kushinikiza mahakama itengue ubunge wa kamanda Lema ni;
  1. CDM kutokubali hivyo kuwahamasisha wafuasi wafanye fujo ndo maana walimwaga askari wengi.Nashukuru Uongozi wa CDM kuukwepa mtego huo kwani walitaka CDMkionekane chama cha fujo ili kuomba kura ya huruma kwa wananchi. CDM Tusifanye fujo kwani ni fursa nyingine ya kudhihirisha nguvu ya UMMA kwa MAGAMBA kwa kupiga kura.
  2. Walitegemea CDM wakate rufaa ili wapoteze muda na hata rufaa nayo kuchakachuliwa. CDM wameshtukia hakuna Rufaa tunarudi mzigoni na ushindi 100%.
JIPE MOYO KAMANDA LEMA TUKO PAMOJA ILA LUSINDE ALIKUTUKANA NAYE ACHUKULIWE HATUA
 
Back
Top Bottom