Hoja ya mtanzania na mzanzibar baraza la wawakilishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya mtanzania na mzanzibar baraza la wawakilishi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Apr 5, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ni katika mabadiliko ya sheria ya utalii ambapo sheria ya kazi inamtambua mtanzania na sheria mpya ya utalii inamsema mtanzania.Jussa alikataa akataka iwe mzanzibar mvutano uliofikiwa kupiga kura ya ndiyo au hapana kwa kuitana majina.Ushindi kwa tofauti ya kura moja ikawa Mtanzania na Jusa na wenzie kulikacha baraza.nilishindwa kurekodi zbc lakini baraza limevutana kwa zaidi ya lisaa limoja.Nawakilisha
   
 2. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jamani huyu Jussa ni tatizo, tena tatizo kubwa kwelikweli. Yaani huyu mhindi koko kila siku ni kutoa maklauli yake ya kichonganishi tuu na kuwakashifu Watanganyika/Watanzania bara.
  Hivi kweli serikali ya Ba Mwanaasha imeshindwa kumshughulikia huyu jamaa? Atatusababisha na sisi tukose uvimilivu wakati tunaogopa laana ya Mwalimu.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Prof. Lipumba anatakiwa awaeleze watanzania ukweli. CUF ni chama cha wapi na kwa maslahi ya nani? Kwa nini watanzania (toka bara) waendelee kutoa kodi zao kuwalipa ruzuku watu kama Jussa?
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Jamani post za nchi hii jirani mbona zinazidi kujaa?
  International Forum ya kazi gani?
   
Loading...