Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JAMES RINGO, Feb 6, 2012.

 1. J

  JAMES RINGO Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowasa amzidi jk katika maadhimisho ya sikuu ya maulid.ahudhuria mkesha jk akwepa!
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lowassa kawajengea waislam shule. Edward Lowassa islamic sec.
   
 3. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Alikua na udhu?
   
 4. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ndo rais ajaye wewe usihoji mamlaka
   
 5. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,755
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi hiyo Lowasa si kafiri lol!
   
 6. e

  evoddy JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  This is politic tact
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi kuhudhuria maulidi nayo sasa imegeuka kuwa kipimo?
   
 8. W

  WildCard JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Tusubiri JMK na Gharib Bilal wahudhurie mikesha ya Krismas na Pasaka. Lowasa anahangaika sana. Juzi usiku alionekana kituko kama mende alieanguka ndani ya glasi ya maziwa.
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Haya bana, ndo politiks za bongo.
   
 10. s

  sanjo JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ustaadh EL pembeni mwa Makamu wa Rais Dr Bilal, kasoro hakuvaa kanzu na baragashia! Yote hii anatafuta nini? Tuache utani, kweli madaraka ni matamu.
   
 11. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katika kuutafuta urais, huyu jamaa amefika mbali sana. ok ngoja tuone mwisho wake. Nape alipokuwa akizungumza star tv wiki iliyopita alimpiga vijembe kidogo, lakini mimi ninawasiwasi kwamba nape anaweza kuja kujutia matendo yake baadae, hajui uwezo alionao Mh, waziri mkuu aliyejiuzulu.
   
 12. W

  WildCard JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ITV wana maelekezo maalum ya kutomwonyesha Lowasa kwenye habari zao?
   
 13. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  kikwe nae atajenga kanisa la Mtakatifu Jakaya
   
 14. W

  WildCard JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Jana kwenye sherehe za CCM Lowasa hakuonekana kokote. Vijembe vingi vilielekezwa kwake hata hotuba ya swahiba wake haikumwacha mbali. Aanze Plan B sasa. Dalili sio nzuri hata kidogo.
   
 15. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nitawashangaa sana mtakapombeza EL, Mwalimu wakati anatafuta Uhuru wa Tanganyika, muda wote alikuwa yuko na wazee wa kiislam mpaka ilifikia kipindi nae akafunga kwa kuwa ilikuwa ni mwezi wa ramadhani.
  Kuna picha kibao amekula darizi na kofia kama kawa, Sema Uislam wa baba Riz1 nautilia mashaka sidhani kama kuna kitu pale. Ni bora EL kuliko JK.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lowassa ni chaguo la Mungu.Kama unabisha, pambana nae uone moto!
   
 17. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Dumela Batswana dumelaaaaaaa............dumelaaaaaaaaaa watz dumelaaaa.........dumelaaaaaaaaa
   
 18. W

  WildCard JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kwa kunywa nae chai sawa.
   
 19. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  na hakuwa na udhu!!! walimwosha miguu tu ...
   
 20. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Hebu tujaribu kufikiria tofauti kidogo. Hivi haiwezekani huku tunakokuita kuhangaika kwenye nyumba za ibada kunakofanywa na ENL kukawa na malengo ya kiroho zaidi kuliko yale ya kutafuta urais au kukubalika kisiasa? Kuna taarifa kadhaa za baadhi ya wadau wakitilia shaka afya ya mheshimiwa huyu....wanasema afya yake inazorota/imezorota! Si kwamba anajiweka tayari kiroho tu!?
   
Loading...