Inawezekana kufutwa Azimio la Arusha kulianza Nyerere akiwa bado mwenyekiti CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana kufutwa Azimio la Arusha kulianza Nyerere akiwa bado mwenyekiti CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SubiriJibu, Apr 8, 2012.

 1. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,124
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Najua JF ni kisima cha kumbukumbu,

  Natafuta tarehe ambayo Juliu Nyerere aliachia ngazi unyekekiti wa CCM. Pia na tarehe ambayo NEC-CCM ilikaa huko Zanzibar na kulifuta Azimio la Arusha.

  Nataka kujua kama walitumia miaka michache tangu Nyerere aache uenyekiti, basi nitaamini mikakati ya kulifuta Azimio hilo huenda ilianza kwa siri angali Mwenyekiti.

  Nasubiri jibu.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ulikuwa unaishi Tanganyika? Au ulikuwa Mtoto chini ya Miaka 5? Azimio la Zanzibar ndilo lililovonja Azimio la Arusha
  '
  Wakati huo Rais wa Nchi alikuwa na Ali Hassan Mwinyi; Makamu wa Rais John Samwel Malecela

  Nyerere hakuwa Madaraka hata kwenye Chama alishang'atuka 1987 Azimio la Zanzibar lilikuwa Miaka ya 1992

  Kwanini unaweka Topic bila Ufafanuzi na Bila Ufahamu? Unaifana Jamii Forum kuwa hatuelewi Mengi tusemayo?

  * Kama haujui Soma; ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nyerere alitoka 1987, azimio la zanzibar 1992
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu umepata majibu sahihi lete basi hoja yako.
   
 5. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,124
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Bado nasubiri jibu kwa sababu hawa watoa majibu wanaropoka kwamba Mwalimu Nyerere aling'atuka mwaka 1987 wakati that is terrible mistake kwani aling'atuka rasmi August 17, 1990.
   
Loading...