Ubunge Iramba Magharibi

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
nikiwa nina haki kikatiba.ya kuchagua kiongozi ama mimi mwenyewe kuchaguliwa kama kiongozi, nina nia ya kuchukua form 2015.endapo chama changu kitaridhia cv yangu.na kunipitisha kupeperusha bendera ya cdm.nitafurah kukutana ama na mwigulu ama yeyote toka chama cha magamba.najua humu jamvini kuna raia wengi wenye busara.za kunishauri.nakaribisha ushaur wenu.my take:matusi na kejeli si mahali pake.kama huna la kunishauri bs pita tu.
 
Mimi nitagombea Iramba mashariki. Muda huu natoa elimu ya uraia.

Nakuunga mkono wa isanzu, naamini utalichukua jimbo, kwani unaweza kujenga hoja ingawa sijui ukiwa jukwaani inakuwaje.
 
hongera brother kama una sifa CDM hatuna hiyana tutakuunga mkono nia yetu ni kuleta ukombozi kwa wana iramba waliochoka na siasa uchwara.go on bro
 
nikiwa nina haki kikatiba.ya kuchagua kiongozi ama mimi mwenyewe kuchaguliwa kama kiongozi, nina nia ya kuchukua form 2015.endapo chama changu kitaridhia cv yangu.na kunipitisha kupeperusha bendera ya cdm.nitafurah kukutana ama na mwigulu ama yeyote toka chama cha magamba.najua humu jamvini kuna raia wengi wenye busara.za kunishauri.nakaribisha ushaur wenu.my take:matusi na kejeli si mahali pake.kama huna la kunishauri bs pita tu.

Munakedagu, unaanzisha uzi halafu unakimbia, mbona sikuelewi.
 
hongera brother kama una sifa CDM hatuna hiyana tutakuunga mkono nia yetu ni kuleta ukombozi kwa wana iramba waliochoka na siasa uchwara.go on bro

Tutakuunga mkono.

Lakini shida ninayopata humu katika JF wengi hamjapenda kuandika majina yenu kamili, sijui hofu ni nini. Majimbo yote, Iramba Magharibi na Iramba Mashariki kuna shida ya wabunge waliopo. Bahati nzuri natoka huko, na kila kona naifahamu vizuri kuanzia Kinampundu mpaka Mgela.

Kama mwanJF mmoja alivyosema, jitambulishe vizuri. Mimi nilishamwuuliza mtu mmoja kuhusu Iramba Magharibi, nikaambiwa kuna mwanaCDM msomi mzuri anaandaliwa huko, nikasema sina wasiwasi kama atakuwa huyo. Sasa na wewe jiweke wazi, uko wapi, unafanya nini, sera zako zipi, na unalenga kufanya nini kwa wananchi. Ili tukupime na huyo ambaye anapendekezwa, iwapo haijawa wazi sana.

Kila la heri! Unaweza kuniandikia: ugulapp@yahoo.co.uk
 
jiandae kuporomoshewa mitusi kutoka kwa mzinzi wa igunga
nakushauri kabla ya kuingia ktk kinyang'anyiro waombe radhi ndugu zako hasa mama na dada zako kwa mitusi watakayoipata kutoka kwa mgombea wa ccm wa timu yake,
waombe sana wawe na roho ngumu na uvumilivu hata kama maraisi wastaafu nao watakuwepo ktk kampeni nao siku hizi ni matusi mwendo mdundo,
mwombe radhi baba yako kama bado yupo hai maana si ajabu akamegewa umbea kwa mara ya kwanza kwamba wewe hukutoka kiunoni kwake,
mwisho nakutakia kila la heri mkuu.
 
Tutakuunga mkono.

Lakini shida ninayopata humu katika JF wengi hamjapenda kuandika majina yenu kamili, sijui hofu ni nini. Majimbo yote, Iramba Magharibi na Iramba Mashariki kuna shida ya wabunge waliopo. Bahati nzuri natoka huko, na kila kona naifahamu vizuri kuanzia Kinampundu mpaka Mgela.

Kama mwanJF mmoja alivyosema, jitambulishe vizuri. Mimi nilishamwuuliza mtu mmoja kuhusu Iramba Magharibi, nikaambiwa kuna mwanaCDM msomi mzuri anaandaliwa huko, nikasema sina wasiwasi kama atakuwa huyo. Sasa na wewe jiweke wazi, uko wapi, unafanya nini, sera zako zipi, na unalenga kufanya nini kwa wananchi. Ili tukupime na huyo ambaye anapendekezwa, iwapo haijawa wazi sana.

Kila la heri! Unaweza kuniandikia: ugulapp@yahoo.co.uk

nashukuru.kwa mchango wako.lakini nataka kutumia ujuzi wangu nilioupata kutokana na kodi za wananchi kutekeleza mambo sugu katika jimbo langu.mosi.kuhimiza elimu jimboni mwangu.kumbuka kuwa jimbo hili na mengine huko nyumbani yamegeuka masoko mazuri ya upatikanaji wa watumwa wa ndani na nje.namaanisha ma house girl n house boy +bar maids'hili halina ubishi hata wewe unatambua jimbo limekosa chachu ya elimu matokeo yake wadogo zetu wanaambulia mateso yasiyomithilika.pili.maji. Tatu.ajira.na masoko endelev .mf.lile la misuna la kila jumamosi.nk
 
Nawapongeza kwa kutangaza nia Makamanda.La msingi ni kufanya utafiti shirikishi juu ya kero sugu za wananchi,pia ongea nao ujue priorities zao.NAMI NAJIPANGA KUMNG'OA WAZIRI WA AFYA 2015 KWA CDM PALE ULANGA MAGHARIBI
 
Kule kunanihusu sana, nipo Sheui nimekita.....zikiishavuguvuga za kuvuliwa ubunge nitawaomba makamanda wakuu waje kutoa darasa...ilakama we ni CCM Mayu usilete pua pale....''nikikia nu nduwe''

usijali.shelui ndo penyewe kwa siasa za mabadiliko.bahati nzuri sijawah hata kuigusa kadi ya kijani. Palumui muntua.
 
Nawapongeza kwa kutangaza nia Makamanda.La msingi ni kufanya utafiti shirikishi juu ya kero sugu za wananchi,pia ongea nao ujue priorities zao.NAMI NAJIPANGA KUMNG'OA WAZIRI WA AFYA 2015 KWA CDM PALE ULANGA MAGHARIBI

songa mbele. Huyu shetani lazima atoke.go cdm go!
 
Mayu ni inbox kupitia jjay@yahoo.com.....hii ni ishu msingi sana, jimbo langu limekuwa kama field, magamba wanakuja kujifunzia ufisadi, toka enzi za waziri Kiula, Shango na sasa Mwigulu ambaye pesa kwake ndo kila kitu,nitakuunga mkono daima.umejaribu kuwasiliana na home boy Dr.Kitila Mkumbo akakupa mawaidha
 
Sasa nyie juzi juzi tu hapo mlikuwa mkiliponda lile jama bishi lenye chale uso mzima( nyepesi kabwela) eti uongozi hautafutwi sasa mbona na nyie wezi wa fedha za sabodo leo hii mnaanza kutangaza nia za ubunge!
Enewei mi nitagombea nyamagana kwa Wenje kwani kijana kashindwa kazi kabisa na juzi katuchangisha fedha nyingi akidai za madawati kumbe ni aliagizwa na Mbowe achangishe kwa ajili ya kukarabati club-bilcanus pamoja na kumlipa yahya wa junior vile vile hiyo pesa itatumika kununua gunia za bangi ambazo huwa anavuta lema kwa ajili ya M4C.
Mpaka kieleweke peoples...................
 
Usiwe mwoga.. Kama unataka ushauri tunaweza kukumwagia .. Weka I'd zako zote Na mpicha wako.. Usijiandae kukataa changamoto mapema. Matusi kejeli kero makochokocho bin kuchokonolewa hadi kule usikodhani ndio uanasiasa Wa kikwetu ulivyo.. Ukiogopa Haya JIPIGE BAN!! Mapeema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom