Huyo ndiye Prof. Lipumba nimjuae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyo ndiye Prof. Lipumba nimjuae

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kikulacho, Apr 9, 2012.

 1. K

  Kikulacho Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama profesa lipumba watu huhamaki na hata kutukana, lakini kubwa tujiulize ni nani asiyejua kuwa lipumba ndiye mkombozi wa siasa za mageuzi nchini, mara baada ya wazanzira kuuliwa na mkapa kupiga marufuku maandamano aliwza kuongoza watanzani kudai haki yao ya msingi kwa mujibu wa katiba na hata kupigwa na kuumizwa mkono hata haya naya nayo bado tu tunamuona hafai?
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aliyekuambia Lipumba hafai nani? Kufanya jambo moja au mema kadhaa siyo kwamba hakutoi nafasi ya mtu kukosolewa.

  Lipumba analaumiwa sana kwa kushindwa kukikuza chama na sasa hivi bara chama kinataka kufa.
   
 3. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kaka aliyekutuma ka mwambie hujawakuta,Chadema kitawaumiza sana vichwa mtatunga kila porojo lakini hamtafanikiwa
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 5. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  Muungano umevunjwa haujavunjwa?
  UMevunjwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  Watanganyika hai hoi
  Hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  Tume ya katiba yetu si yetu
  Yetuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  Asante sana
   
 6. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unamwongelea Lipumba yupi, wa kimataifa au kitaifa?
  Ntarudi ukijb
   
 7. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mleta hoja thibitisha kuwa kweli wewe ni great thinker, don't abuse the forum.
  Lipumba hadharauriki kabisa, uwezo wake umefikia pale alipoishia. Hajafanikiwa haswa kuwashawishi watu, hasa wasomi wa kada tofauti, kwamba kweli cuf ni chama makini chenye malengo ya kuiondoa ccm madarakani. Cuf imefunga ndoa ya mkeka na ccm chini ya uongozi wake. Prof ni kiongozi lakini ni mwoga kwa baadhi ya watu ndani ya cuf, hasa wale waanzilishi wa chama na bado wako madarakani. Mengine ntakueleza baadae ngoja wachangie wengine kwanza.
   
 8. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Wazanzira ndio kiumbe gani? Naona MS umekuja kwa ID nyingine.
   
 9. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  LIPUMBA NI MWANA SIASA MZURI NA ANA UWEZO NA MIPANGO MIZURI LAKINI CHAMA ALICHOKO KINA SERA TOFAUTI NA ZAKE NA AMEWEKWA TU KAMA SHATI HANA MAMLAKA YEYOTE.dhamira kuu ya CUF ni kutawala znz na kuweza kuifanya znz nchi kamili maana yake kuitoa kwenye muungano ili watimize wanayojua wao kama ndio kuifanya islamic state au kujiunga umoja wa nchi za kiarabu au kurudisha ikulu pemba sijui wanajua wao.LAKINI UKWELI ULIO WAZI HATA VIONGOZI WENYEWE WA CUF wanasema CUF NI ZNZ na wale wa nazi zaidi huwa wanasema cuf n pemba,HATA KULE IGUNGA WALIENDA TU KWA KULANZIMISHWA NA LIPAMBA MAANA KATOKA MKOA HUO NA WALIKUWA WAPILI UCHAGUZI 2010.na walikuwa hawana haja na arumeru sio tu hawana hela ila hata huo muda wa kuongea na wakristo hawana maana chama chao kampeni hufanyika mpaka misikitini,maamuzi ya mashehe ndio ya cuf.kama huamini muulizi mtu yeyote umjuaye anayeishi znz umuulize wanaoitisha mikutano ya hadhara katiba na muungano ni akina nani na hufanyika wapi kama sio viwanja vya miskiti na mashehe ndio huutubia
   
 10. B

  BORATUMBO Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Prof binafsi namkubali sana huyu mzee tatizo ni hilo chama alilokuwepo baasi
   
 11. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata wewe mwenyewe unajua kuwa hafanani na watu tunaowahitaji kutuongoza na ndio maana umeanza kuchelea kuwa tunamdharau. Nani alikwambia tunahitaji kiongozi atakayefungisha ndoa chama?

  Kosa lako ni kuifananisha CUF (CCM B) na CHADEMA
   
 12. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Chadema siyo waumini wa ngonjera,prof wa ukweli anajua akilini what's chadema.BASI TU.
   
 13. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  akili yako imejaa udini mbona cdm wanafanya mikutano ndani ya makanisa!!!!achen uchochezi wa dini huo
   
 14. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,475
  Likes Received: 2,143
  Trophy Points: 280
  Kanisa mkubwa kama sio uccm au ucuf unakusumbuwa. ccm ndo zao na mdogo wake kA-cuf. Ingawa kA-cuf zaidi. Mfuatilie Jussa utapata majibu.
   
 15. F

  Fringe Senior Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo cuf ilikosa wafuasi baada ya kuunda GNU? Kweli? mbona tunaambiwa maalim alimshinda Shein 2010. anyway sijui analysis yako ya wasomi na cuf umeipataje...unless you proof it has fail to win influence among intellectuals,nta buy idea yako
   
Loading...