Jimbo la Rorya linahitaji kukombolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la Rorya linahitaji kukombolewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Smallfish, Apr 9, 2012.

 1. Smallfish

  Smallfish JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wana ukombozi,inasikitisha juu ya hili jimbo lililopakana na ndugu zetu wa Kenya wenye msisimuko wa kimageuzi ya fikra.Jimbo hili watu wake bado wanaamini wafanyabiashara mbumbumu wasio na uwezo wa kujenga hoja.Hii inatokana na vijana wetu kuhongwa CHAI na MAANDAZI kutokana na umasikini uliokithiri ktk jimbo hilo.
  CDM tunaomba kamanda LEMA na HECHE watie timu kimkakati kwenye JIMBO hili ili 2015 iwe ngome moja wapo ya CDM.
   
 2. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nyie wanachadema mlioko huko mmefanya nini hadi sasa? kwani siamini sana kutegemea watu wa mbali wakati ninyi hapo mmekaa tu bila kueneza chama. Lema anapaswa aje kuvuna mbegu ambazo zimesha pandwa
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mwiteni mashaka aje kugombea,si anatoka huko...lol
   
Loading...