Nafasi waziri waziri wa mambo ya ndani ikowapi kama raisi ndio kila siku yupo safari

Olele kibaoni

Member
Mar 17, 2012
15
0
Inanikera sana na watanzania pia wanakereka na kuumizwa na hizi safari za kila siku za raisi.ninachojiuliza ni nini kazi ya waziri wa mambo ya nje ikiwa kilasiku raisi kiguu na njia.au ndio tafsiri ya kua amekosea kuteaua mtu stahiki anae cover hiyo position kikamilifu??ina ashiria nini kwa waziri mwenye madaraka kama sio kujiona ni dhaifu na asieweza majukumu aliyopangiwa.au ndio tuseme jk alizaliwa awe waziri wa mambo ya nje na uraisi ni kofia tu alakini profesion yake ni mambo ua nje?mbona ikulu haitupi takwimu nini kwakiasi gani uchimi wetu umekua kutokana na safari zake??au lazi ya idara ya maelezo ya ikulu kazi yao nikujibu hoja za chadema zinazo kinzana na raisi au ikulu au sisiemu??
 
Nadhani ulimaanisha Waziri wa mambo ya nchi za nje. Hata hivyo kaa ukujua kuwa Membe kwa sasa ana shughuli 'maalum'. Ni msemaji wa maaskofu wa makanisa yote nchini na hivi jana tu alikuwa amepeleka ujumbe wa baba maaskofu kwenye tamasha la pasaka.
 
Back
Top Bottom