Vyama vya siasa na uongozi wake

Apr 9, 2012
78
8
Viongozi wa vyama vya siasa hasa pinzani watoe uhuru mpana kwa wanao taka kugombea nafasi zao kwani inaonekana watu wakijitokeza kiongozi anaona kama anapodwa madaraka hali madaraka ni dhamana na kipimo kuwa ana faa au hafai pia uhuru huu utaleta mwafaka wa kutofukuzana ovyo kwani huwezi kuwa mwanademokrasia bila kujua gharama za demokrasia hii nipamoja na kukubali kupingwa, hoja hii nalenga kufukuzwa kwa kafulila na Hamadi wameonewa sana kwani walitumia demokrasia kutaka uongozi sasa hili la kuwafukuza ni kunyonga demoksia acheni munaleta ubeberu na utawala wa ovyo kama wa kikoloni mwl ,aliona mbele tuwe na demokrasia huru siyo kuwa miungu watu napinga umangimeza muna uwa demokrasia iikujihalalisha kifalme au kiusultani hatuki ,kubalini challenge nilikuwa namukubali Seif Hamadi makamu zanzibar kumbe ni mchanga wa demokrasia ame kuongoza kamati kumufukuza Hamad mbunge kwenye chama ni udicteta Huyu bwana anajua uchungu amewahifungwa tena uhaini jamani leo anaonekana hafai inasikitisha yule bwana ni mwanaume akisimama kuu uliza swali waziri mkuu anaomba glasi ya maji anywe leo hafai jamani turudi nyie viongozi tambueni michango ya viongozi nguli siyo kuwa katisha tamaa inaumasana mutabaki peke yenu ccm itawatupa kama uozo wa jalalani mutakosa wa kuwatetea tafakarini jengeni vyama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom