Hivi serikali kujiidhinishia fedha nje ya bajeti uliyopitishwa na bunge imekaaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi serikali kujiidhinishia fedha nje ya bajeti uliyopitishwa na bunge imekaaje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 9, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Namwona mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za serikali mh John Cheyo anatoka mapovu akilia na serikali inajipangia bajeti itakavyo na matumizi makubwa nje ya yaliyopitishwa na bunge na hakuna sheria ya kuwabana imekaaje wakuu
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  ndo usishangae wala kuwa na shaka ukimsikia Lema analia JK kaingilia Mahakama.

  nchi hii ina mihimili jina tu.
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kijjah ameshindwa kunyoosha ukweli alichokuwa anamaanisha kwenye utetezi wake ni kuwa Pesa huwa inatumika hata kabla haijaingia kwenye govt coffer.Yaan Bw. Mkuu akiwa anahitaji unavutwa waya kwa Kitilya leta mzigo!nchii kwishneyi.
   
Loading...