Katiba mpya: Mbunge akihama chama chake na kuhamia chama kingine abaki na ubunge wake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya: Mbunge akihama chama chake na kuhamia chama kingine abaki na ubunge wake.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mwakiluma, Apr 9, 2012.

 1. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maoni yangu katika katiba mpya kuwepo na kipengele kitakachoongelea uhuru wa mbunge. Katika uhuru huo pamoja na mambo mengine itamkwe wazi kwamba mbunge ana uhuru wa kwenda chama chochote na bado akabaki na ubunge wake pia iongezwe kuwa mamlaka ya kumfukuza mbunge ubunge iwe mikononi mwa wananchi waliomchagua tu. Haya ndio maoni yangu kwa tume hii ya Warioba...wewe unasemaje, Tujadili....
   
Loading...