Natamani tarehe ya uzinduzi wa M4C iitwe Chadema Day na kuadhimishwa kila mwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani tarehe ya uzinduzi wa M4C iitwe Chadema Day na kuadhimishwa kila mwaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Apr 11, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wanabodi,kwa mawazo yangu binafsi naona ingekuwa vema na haki kwa viongozi Makamanda wa CDM kutafakari kwa umakini juu ya CDM DAY,siku ambayo nadhani iwe ni ile siku M4C ilipozinduliwa,achilia mbali siku ya kuanzishwa kwa chama.CREATIVITY BUILDS A STEP 4WARD
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,780
  Likes Received: 6,114
  Trophy Points: 280
  Well, kunaweza kuwa na hizo 'days' nyingi kadiri inavyowezekana lakini hakuna day iliyo kuu kama Sept. 15 siku ile ya "ORODHA YA AIBU".

  Siku hii ilikuwa ndio mwanzo wa fikra mpya, mwanzo mpya, na uthubutu mpya. Kwa taifa lililotawaliwa kwa "mkono wa chuma" chini ya chama kimoja hakuna aliyewaza kwamba hayo yangewezekana.

  Nasema tena, ziwepo 'days' nyingi lakin Sept. 15 should remain "the special one".
   
Loading...