CHADEMA yateka Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yateka Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkekuu, Apr 11, 2012.

 1. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ebena ni noma,tumezoea kuona umati mkubwa kama huu,ktk mikutano ya dini.na kiaina sana tena kwa kuletwa na maroli,mabasi,na kupewa nauli ya kurudia kwa wale wanaitwa wa magamba.ila leo kuna kina dalili dom hawalali tena mpaka kieleweke.
   
 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kawa kwa wenye macho tuwekee picha,wasiiona weka link ya audio! Mwema hajatamka lolote kuhusu intelegensia ya leo?
   
 3. M

  Malova JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Tupia mapicha.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi ma-raia washasanuka washaelewa makamanda.
   
 5. saliel

  saliel Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu 2juzeni kinachoendelea nn huko leo
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tupe picha

  kama uko eneo la mkutano wanasemaje?
   
 7. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  picha inakuja wangu.
   
 8. a

  akelu kungisi Senior Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upload picha fasta mkuu, c unajua Wadanganyika tulivyo na hamu kuona saa ukombozi inavyokaribia!
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  bado Mtwara, Lindi,Tanga, Pwani........
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wapi picha bwana ?
   
 11. 2hery

  2hery JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 2,056
  Trophy Points: 280
  leta mapicha
   
 12. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Picha mkuu!Fastaa
   
 13. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "NIPE NIKUPE"
  Mimi mzanzibar lakini nitaipigia kura chadema 2015 kwa rais wa muungano ili tuing'oe ccm, kwa sababu kuiondoa ccm bara ni njia nyeupe kwa CUF ZANZIBAR kuingia IKULU.
  Kama kweli itathibitika dodoma chadema imepata mapokezi makubwa, basi itakuwa ni ujumbe mwengine kuwa SIKU ZA CCM KUIONGOZA TANZANIA ZINAHESABIKA.

  Ni ukweli usiofichika kuwa wazanzibar wengi hawaipendi chadema lakini ninaamini kama viongozi wa chadema watakuwa na mkakati imara wanaweza kuzipata kirahisi kura za urais wa muungano kutokana na ukweli kuwa CUF wanaimani ushindi wa chadema bara utawasafishia njia ya kuingia ikulu kwa vile hakutokuwa na utumikaji wa MABAVU kutoka viongozi wakuu wa magamba kutoka bara.

  chadema mumeonesha njia endelezeni mapambano, hivi sasa hapa zenj wana ccm wengi wameanza kuingiwa na hofu kuwa nani atawalinda uchaguzi wa 2015 ikiwa ccm bara itaangushwa?

  viva chadema, people power.................
   
 14. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe una akili sana, kwa pamoja tutaiangusha ccm, cuf ikiingia ikulu zenji magamba tumeshawzmwaga, na tanzania itaendelea.
   
 15. L

  LUSANGA Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha mkuu tuwaone makamanda wenzetu
   
 16. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  temeke, ilala......tuendelee
   
 17. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  viva CDM picha inaongea zaidi mkuu.
   
 18. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Magamba wanataka watumie picha za msiba wa kanumba Kama ni moja ya Mikutano Yao ndio maana hawachelewi kusema msiba oyeeeee!!!!!!!
   
 19. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Peoplezzzz!!!!!!! Power!!!!!
   
 20. c

  cutienoe Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mlacha wa Udom kaumbuliwa leo hapa dodoma na chadmea..jamani najaribu ku-upload picha inagoma khaaaa....ila panahappen ile mbaya.
   
Loading...