JK amwaga maelfu ya ng'ombe

MAN I

Member
Apr 11, 2012
7
2
Jk amwaga ng'ombe 25000 kwa wananch wa mondul kama kfuta jasho baaada ya kusmamisha mrad wa kununua ng'ombe
 
JK ni mfa maji asiyeacha kutapatapa. Badala ya kuboresha mazingira ya ufugaji nchini yeye anakimbilia kuwapa ng'ombe!. Halafu eti ana degree ya uchumi kutoka UDSM!. Hivi JK anajua hata maana ya economic capability?.
 
Kama ningekuwa na uwezo ningefuta hiyo degree yake ya uchumi
Jey Key ni mtu wa fadhira ktk masuala ya kisaniii sanii, wazee wa East afrika wanakufa mbona hawapi hela zao:A S 100:
 
Hata angetoa ng'ombe mil ccm tunaimaliza mikonöni mwake,tutakula ccm kura ni kwa watu makini kama akina mnyika
 
Back
Top Bottom