Uvivu na utapia-akili wa wabunge wa CCM... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uvivu na utapia-akili wa wabunge wa CCM...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gurta, Apr 11, 2012.

 1. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,239
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Usingizi wa pono, utapia-akili, ufinyu wa fikra na kutokuweka mbele maslahi ya taifa wa "wabunge" walio wengi wa CCM umenisukuma kunukuu Taarifa ya Pili ya Tume ya Jaji Nyalali ya mwaka 1992; uk. wa 2, para 5:

  Kwa kutumia matukio ya leo tu Bungeni kwenye muswada wa BRELA na majibu ya hovyo kabisa ya wiki hii kutoka kwa Waziri wa Fedha na AG kweli CCM ni sikio la kufa!
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,203
  Likes Received: 3,170
  Trophy Points: 280
  Ni vigumu sana kumuamsha aliyekufa... RIP CCM 1977-2015
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mi bunge ya CCM yote si unajua ni janga la kitaifa
   
Loading...