Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

maendeleo na mihangaiko ya maisha imevurugwa na hiyo mikoa na wilaya mpya. Kwetu hatuna dc na mkoa we tu mpya, wilaya mpya. Mwenye kujua ni lini hawa watu watateuliwa atupe au tiss mmoja atupe hiyo.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wasalaam Aleykum JF! - Well, we have been running a brutal campaign aspiring to be elected to the EAC assembly, the highest Legislative body among the five Nation's members that includes...
7 Reactions
416 Replies
33K Views
……….. ………… “Ndg. Wananchi, sisi viongozi wa Chadema tunaishukuru sana ccm, serikali yake na vyombo vyake vyoote vya dola. Tunawashukuru kwa jinsi wanavyotusaidia kuujulisha umma kwa vitendo...
18 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni miaka 28 sasa imetimia tangu sisi kama taifa tuondokewe na Waziri Mkuu wetu kipenzi cha wengi, Mzalendo wa kweli, Mchapa kazi, Kiboko cha Mafisadi, wala Rushwa na wahujumu uchumi Hayati Ndg...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Waziri mkuu Pinda anajibu maswali ya papo kwa hapo. Sijapenda alivyojibu swali la nyongeza la Kaliuki,Alihtaji kujua kauli ya serikali kuhusu malipo ya wafanyakazi wa TAZARA,bada ya kujibu kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Maswa(CHADEMA) amesema jambo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi, Ile taarifa muhimu sana kuliko taarifa nyingine inayopaswa kuwasilishwa bungeni kwa mujibu wa katiba, Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG, Imewasilishwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale mlioangalia kipindi cha bunge leo, kila kinapomalizika kipndi cha maswali hasa mnamo saa nne (10:00am EAT) hufuata utaratibu wa kutambulisha wageni. Wageni waliotambulishwa walikuwa...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Nilishangaa sana nilipokuwa nasoma kitabu cha Mzee Edwin Mtei, Alizaliwa mwaka 1932 and mwaka 1965 alikuwa Governer wa Tanzania akiwa na umri wa miaka 33 tu ? Swali langu ni hili katika serikali...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
akiongea katika kipindi cha baragumu cha chanel ten leo asubuhi akijibu swali, amesema hafikirii kugombea ubunge ambao si size yake, kwa kuwa lengo lake ni kusimamia uchumi wa kitaifa si wa jimbo...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
1. Mh Mbowe amuuliza PM juu ya kauli za CCM na serikali eti wakichagua wapinzani majimbo yao hayatapata fedha za maendeleo. Mf. ni kauli ya Mary Nagu kwenye kampeni Arumeru, Ole Medeye huko Meru...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Ni wakati wa kumuenzi jabali wa sera za ujamaa na kujitegemea na aliyekua mstali wa mbele kupambana na mafisadi wa jana(mafisadi wa sasa) wakati wa chama kushika hatamu! wazee wa magamba! Ebu...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
kuna tetesi kuwa ccm inamuandaa aliyewahi kuwa R.C wa arusha ndg Daniel Ole Njolay kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa arusha mjini iwapo chadema watashindwa rufaa yao.
1 Reactions
38 Replies
6K Views
habari wadau wa jamvi leo ni miaka 2b toka kifo cha mpendwa wetu Waziri Mkuu Edward Sokoine kilichotokana na ajali ya gari ya utata. Je Kizazi cha sasa kinamuenzi vipi shujaa wetu huyu? Hivi mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati unalalamika kuhusu umasikini wa nchi hii usisahau kumhusisha moja kwa moja huyu mzee Msekwa.Kumbuka tu alipata kuwa speaker wa Bunge letu ambalo linatunga sheria hivyo kila aina mswada...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Mpendwa wetu Waziri Mkuu Edward Sokoine kilichotokea Dumila mkoani Morogoro kwa ajali ya utata ya Gari. Je kizazi cha leo kinamuenzi vipi shujaa huyu? Na ukweli wa...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Mara zote kuna malalamiko juu ya muundo wa muungano toka upande mmoja, yaani Zanzibar, lakini kwa waTanganyika, watu wamekaa kimya huku wakinung’unika either kimoyomoyo au wakinung’unika lakini...
1 Reactions
0 Replies
866 Views
Leo Mh. Harrison Mwakyembe amehudhuria bunge. Kuna yeyote aliyefanikiwa kupata picha yake?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Lissu apangua hoja za CCM kwa masaa 3 na nusu (3:30) : kauli ya mwisho anayosema ni kuwa katika tuhuma zote zilizoletwa mahakamani, hakuna ushahidi hata mmoja wa mawakala wa CCM, au wapiga kura...
15 Reactions
62 Replies
8K Views
Back
Top Bottom