Zitto kufukuzwa CHADEMA?

woyowoyo

Senior Member
Jul 24, 2011
173
12
Kimefanyika kikao cha watu watatu Mbowe, Slaa, na Mtei (cha siri) kilichoketi kuhakikisha Zitto anafukuzwa katika chama.

Inadaiwa ni kwa sababu ya kupingana na mpango wa chama hicho wa kuhakikisha wanatetea maslahi ya 'wakubwa ndani ya chama' na hasa katika katiba mpya inayokuja.

Kitendo cha Zitto kutoa 'maneno machafu' kwa muasisi na mwenye chama Edwin Mtei kimepelekea kuanza kutafutwa sababu ya kumwondosha.
 
Zitto, Mbowe tulikuwa nao leo Dodoma na wote wamehutubia, sijajua hili unalitoa wapi.
 
Back
Top Bottom