Mawaziri gani waondoke katika next reshufle ya kukidhi matakwa ya madaktari

Mkora

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
370
55
Wakuu kama mjuvyo soon Mkuu wa kaya atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri, jee kuna mawaziri gani ambao wamekuwa janga la taifa na mawaziri gani wanastahili pongezi
Au mawaziri gani wakipelekwa wizara fulani wata fit kutokana na hulka zao au utendaji wao
Nawakilisha
 
Aondoke kwanza yeye mwenyewe JK na Pinda kwa sababu wameshindwa kazi kabisa. Halafu hao wengine ndio wafuate nyayo.
 
Waondoke wote abaki Magufuli na huyu mangi Mwamri wa huko kishumundu.
 
Sitamwelewa rais wangu Jk kama atawaacha Ngeleja na mponda katika baraza jipya. Hawa watu wameproof failure, bila kumsahau Malima.
.
 
Serikali nzima ina waziri mmoja na haina Presd wala Prim.........................
:focus:I meanJohn Pombe Magufuri apewe Urais,Upm,naa wizara zote finish
 
waziri wa mifugo na samaki hafai kabisa anafaa apumzishwe; muda wote aliopewa madaraka hakuna cha maana alichofanikisha!
 
Apunguze wizara kwa kufuta na kuunganisha. Na hawa watu wapumzishwe:
1. Steven Wassira - hana jipya na wizara yake inaweza kuwa kitengo kwenye ofisi ya rais au waziri mkuu
2. Gaudencia Kabaka - ni hasara kwa taifa kuendelea kugaramia hii wizara wakati vijana wanauza viberiti mtaani
3. Mahanga - (sawa na No 2)
4. Prof. Maghembe - Hana uwezo wala dhamira ya kusaidia wakulima, mbegu fake, korosho zinaoza,
5. Dr Mathayo - pamoja na kusafishiwa njia na Magufuli huyu kijana ameshindwa kubisa hata kuibia majawabu. - mzigo.
6. Kawambwa - Kiwango cha elimu kinazi kushuka, apumzike kunusu taifa
7. Dr Haji Mponda - anamwongoza nani? kuna mtu anamsikiliza?
9. Dr Lucy Nkya - yeye na bosi wake Mponda hawana cha kuongoza!
10. Sophia Simba - Ni madharau na uhaini kuendelea na hii wizara kama ilivyo.
 
Wassira, ngereja, mponda, nkya, malima, mkulo, lukuvi na pinda WAONDOLEWE.
 
Waondolewe Dr Magufuli, Samwel Sitta, Dr Harrison Mwakyembe, Prof Mwandosya na Anna Tibaijuka ili CCM ife vizuri
 
Mawaziri hawa hawatakiwi kurudi maana washindwa kazi na wengi wao ni vibaraka wa mafisadi

1. William Ngeleja (Kibaraka wa mafisadi na uwezo mdogo)
2. Steven Wassira (kubwa jinga)
3. William Lukuvi
4. Sophia Simba ( Uwezo mdogo)
5. Dk Haji Mponda (Uwezo mdogo)
6. Dk Shukuru Kawamba (Uwezo mdogo)
7. Gaudencia Kabaka
8. Malima (Naibu Waziri)
9. Ezekiel Maige (Uwezo mdogo)
 
Wakuu kama mjuvyo soon Mkuu wa kaya atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri, jee kuna mawaziri gani ambao wamekuwa janga la taifa na mawaziri gani wanastahili pongezi
Au mawaziri gani wakipelekwa wizara fulani wata fit kutokana na hulka zao au utendaji wao
Nawakilisha
Familia yenye maadili inategemea malezi ya wazazi,sasaaaaaaaa,anguka jukwaani ndo vile hata yale maigizo yake aliyokuwa ameyaanzisha ya kuwatembelea kina wasira sijui alitonywa wtz wanajua sanaa yake haina mvuto,na yule anayejifanya eti kwao wakulima hv kwa sera ile atabaini nn ofisin kwa Mponda.Achilia mbali ofisi ya Ngeleja inayoonekana ya binafsi si umma.duu tutafika.
 
Back
Top Bottom