maajabu ya Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maajabu ya Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Apr 11, 2012.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwenye taarifa habari ya leo nimeona maajabu:

  Maandalizi ya mazishi ya mkuu wa majeshi ni pamoja na kupaka rangi nyumba. Yale yale ya kufukia mashimo barabara zetu tunapojiandaa na ziara za viongozi wetu - window dressing?

  Mkuu wa mkoa anaweza kuzuia haki za kikatiba za wananchi kukusanyika na kupashana habari! Bila shaka atapingwa kwenye mahakama zetu kilema!
   
Loading...