Chakunyuma
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 810
- 152
Muda mfupi uliopita nimesikia kwenye redio moja ya Fm hapa Shinyanga kuwa Mh.rais amemteua makamu wa rais Mh. Bilal kuwa mkuu wa chuo cha Nelson Mandela na Mh David Mwakyusa kuwa mwenyekiti wa chuo hicho na uteuzi huo umeanza tarehe 05/04/2012
Maswali ya kujiuliza
1. Kwanini tunapatiwa outdated news?
2. Sheria inasemaje kuhusu hili?
3. kwanini mtu mmoja awe na vyeo vingi kiasi hiki hakuna wengine wenye sifa?
Kumbuka
Hii siomara ya kwanza kwa ikulu kutoa taarifa za siku zilizopita yaani uteuzi unafanyika na kuanza kazi bila umma kujulishwa na hujulishwa baadae sana. Kweli tunajenga nchi kwa kutoa taarifa zilipendwa?