Sababu za ki'intellegensia zikoje Mazishi ya Kanumba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu za ki'intellegensia zikoje Mazishi ya Kanumba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gagurito, Apr 11, 2012.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni jambo la ajabu na lakushangaza kwa Jeshi letu la Polisi kwa umati ule kukaa kimya juu/kutokuwa na sababu za kiintelejensia ambazo tumezoea kuziona pindi kuwapo na mikusanyiko ya hapa na pale hususani ya kisiasa. Swali: Je ni kwanini jeshi la polisi limekaa kimya kuliko kawaida yake? Na ni kweli huwa hizi sababu zipo amani magumashi?!
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hayo ni magumashi ya kuidhibiti cdm tu
   
 3. kalamata

  kalamata Senior Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hatujakuelewa.kwani ulitaka iwe vp?
   
 4. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kweli polisi huwa wanazuia maandamano au mikusanyiko ya wana chadema kwa sababu ya al shabab?
  ilikuwaje wakaruhusu mazishi ya kanumba, na mechi za uwanja wa taifa, na matamasha ya miziki, na arusi, na ngoma na .....?........ nimechoka. Ngoja nikapate kisusio kidogo kisha nirudi
   
 5. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo tunazidi kupata picha yakwamba kodi zetu,tuzotozwa mpaka mimba zinatumika kulipa police wa si si em,na c police wa taifa.ila nguvu ya uma hairubuniwi kizamani kama walivyozoea.time will tell.
   
 6. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  sio hatujakuelewa, sema hujamuelewa. Umeshindwa kumuelewa na kamwe hutamwelewa na hutakuja mwelewa kabisa
   
 7. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hii thread haina maisha marefu
   
Loading...