Watu wa Dodoma vipi?????

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
Tunasubiri picha za mkutano wa CHADEMA Dodoma hadi sasa kimya....vipi makamada hapo Mjengoni....au beat la mkuu wa mkoa limewaingia?????
 
Wakuu niombe radhi kwakutoupload picha za kwenye mkutano wa chadema pale viwanja vya barafu. Hii ni kutokana na aina ya sim ninayotumia, natumia Nokia 2700 classic, ambayo huwezi kuapload picha unless kama kunam2 anajua anielekeze kuapload kwak2mia nokia 2700.
 
Bahati mbaya sana!
Inaonyesha mkutano huo umeleta tishio sana Dodoma!
Habari hii ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma inanikumbusha Simulizi la kwenye Bible ambapo Herode aliamua watotowote wa kiume wauawe, ambapo Yesu alikimbiziwa Misri. Hii ilikuwa ni ili kulinda Ufalme wake usiingiliwe na mfalme mwingine!
 
Dodoma vipi bwana....mnatuangusha majembe au ndiyo intelligencia hadi kwenye mtandao??? Inawezekana Magamba yamefunga mtandao picha zisiingie ili kulinda hadhi ya U-magamba hapo Dom
 
Wakuu niombe radhi kwakutoupload picha za kwenye mkutano wa chadema pale viwanja vya barafu. Hii ni kutokana na aina ya sim ninayotumia, natumia Nokia 2700 classic, ambayo huwezi kuapload picha unless kama kunam2 anajua anielekeze kuapload kwak2mia nokia 2700.

Kaka vipi? Inawezekana ulikuwa mwana CDM peke yako kwenye mkutano.....ina maana DODOMA hakuna wana JF kweli??? Ni wewe tu....I cant believe this.........
 
Ebu fuatilia uzi wao walianzisha masaa kama 9 yaliyopita,utaona picha moja na watu wamejaa
 
Back
Top Bottom