Bungeni kumechachamaa, Msigwa awambia ukweli Usalama wa Taifa kuwa ni usalama wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni kumechachamaa, Msigwa awambia ukweli Usalama wa Taifa kuwa ni usalama wa CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Piere. Fm, Jul 5, 2011.

 1. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  waheshimiwa bungeni kumewaka moto mheshimiwa Msigwa alikuwa akichangia wizara ya utumishi wa uma awaelezea ukwel usalama wa Taifa kuwa wamekuwa usalama wa CCM na ni si usalama wa taifa.

  Anasema wamekuwa wamekuwa wakikandamiza vyama vya upinzan wakati rasilimal za Taifa kama wanyama hai zaid ya 120 wakiibiwa wakati usalama wa Taifa wapo. Aongelea pia kuhusu Suala la rushwa kwa Dr Hosea kunyimwa makucha katika kukamata vigogo.
   
 2. T

  Technology JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  endelea kutuletea habari
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo hakuna anaemsikiliza. Nchi hii kilichobakia ni kuchukua hatua stahili.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Yeah,i heard him,mama akamwambia kuwa mzuka wa gospel umepanda.ameongea ukweli kabisa........tusubiri kivip watamjibu
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mnyika nae........amezoza
   
 6. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sasa hivi ni mheshimiwa Mnyika anaendendelea mheshimiwa Mnyika kaongelea pesa nyingi zinavyotumika katika safar za bwa mkubwa, afafanua zaidi kuhusu kwa kurefer bajeti ya zambia ambayo imeelezea hadi safari za nje atakazofanya Rais.
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Codes and ethics za usalama wa taifa zinategemea umefundishwa wapi, kama ni USSR basi usalama ni wa chama. Kama ni Israel basi unapata ile cream ya usalama wa taifa. Sasa sijui kama hawa jamaa wa CCM wanaelewa kitu. Maana hata documenti nyingine chafu za kifisadi bado zinaitwa nyara za serikali. Usalama wa taifa unatakiwa kuexpose all dirty documents. Labada hawana hata policy mbalimbali za kuwasaidia katika utendajia wao wa kila siku. Kwa kweli usalama wa taifa/CCM bongo ipo kazi.
   
 8. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Hata mbunge wa CCM kasema USALAMA WA TAIFA siyo wao ni wa CHADEMA kwani hawafanyi kazi kwa manufaa ya taifa.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huyu anaeisfia TAKUKURU SI MZIMA,NADHAN NI VITI MAALUM
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Heeee,anasema tuacheni mambo ya MTANDAO????WIKILEAKS IMEIFUMUA HATA AMERIKA
   
 11. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Anaitwa Munde Tambwe Abdalah. Toka viti maalum magamba. Inaonyesha elimu dunia imempitia mbali sana. Maana anaongea pumba tupu!
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Usalama wa Taifa nao wana njaa na wao wanaganga njaa. Masrahi yao kwanza ya Taifa baadae ndo ilivyo
   
 13. k

  kbhj Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni mke wa tambwe hiza aliyekuwa mkurugenzi wa propaganda ccm. Unaweza kupata picha ya hiyo familia jinsi ilivo.
   
 14. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 80
  Kuna mtu wa CCM anatema cheche za pumba sijapata kuona, Selemani Jafo wa Kisarawe kadai safari za Kikwete ni sawa kabisa kwa sababu Mtume alikuwa akisafiri sana kufanya study tour, pumba fulani hata hazieleweki, hivyo kawashutumu wanaomkosoa Kikwete kwa safari.
   
 15. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Hapo ni pumba kwenda mbele.
   
 16. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  anaitwa MUNDE TAMBWE ABDALAH, vtm maalumu Tabora ana kashfa kbaoo za ubadhirifu wa pesa za umma.
   
 17. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  unasemaje mkuu.! Ama kweli wahenga walisena "LIKE HUSBAND LIKE WIFE"
   
 18. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  yeah yeah yeah! napenda wanavyofuka moshi hao wabunge wa magamba,
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Maji marefu.......anamsifia HOSEA,na anataka mkurugenz wa wa takukuru na TAKUKURU WAONGEZWE PESAAA.......
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Maji marefu anadai kuwa anatembea sana na jk,rais anajitahid sana KUOMBA MISAADA
   
Loading...