Jeshi la polisi ni mali ya nani haswa? katika hili,serikali na jeshi lake inapaswa kutueleza ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la polisi ni mali ya nani haswa? katika hili,serikali na jeshi lake inapaswa kutueleza ukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Jotham, Apr 11, 2012.

 1. B

  Baba Jotham Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wana jf,kuna jambo ambalo kiundani linatatiza na linatoa taswira mbaya kwa jeshi letu la porisi na serikal kwa ujumla
  Leo mtuhumiwa wa kwanza ya mauaji ya Steven kanumba amepelekwa mahakaman kusomewa mashtaka yake lakini tukio la ajabu ambalo limekemewa vikali na wanahabari ni kwa namna mtuhumiwa huyo alivyopelekwa mahakamani.
  Mtuhumiwa amepelekwa na vitara huku kafichwa kwa kuvalishwa hijabu na nikabu,mapolisi wawil wamevaa kiraia na mashtaka kusomwa kimya kimya.Je hivi ndivyo huwa wanafanya kwa watumiwa wengine au jesh la porisi ni mali ya watu wachache wenye maamuzi katika taifa hili? Mbona matukio mengine wanakuwa vihele hele kwenye vyombo vya habari,kama si mkono wa mtu ni nini
   
Loading...