Lipumba; ubunge si size yangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba; ubunge si size yangu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Apr 12, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  akiongea katika kipindi cha baragumu cha chanel ten leo asubuhi akijibu swali, amesema hafikirii kugombea ubunge ambao si size yake, kwa kuwa lengo lake ni kusimamia uchumi wa kitaifa si wa jimbo, jimbo ni sehemu ndogo kwanu, alisema mchumi huyo.
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ni haki yake kuongea na anastahili kulibeba taifa kiuchumi ingawa hathaminiki.
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  HUYU JAMAA SOO, Bado ANAUWAZA URAISI !!!!!!!!!!!!!!!!!????? kazi za kitendaji na kazi za kisiasa tofauti , urais asahau kabisaaaaaaaaaa .
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Anasubiri umri wa Chifu Abdalah Fundikira RIP Ndipo ajue thamani ya ubunge.
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hata ubunge akigombea hapati. kama anataka kufufua uchumi aombe kazi benki kuu.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Achilia mbali ubunge. Ujumbe wa nyumba kumi hafai
   
 7. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Huyu yuko pale kuvizia uraisi tu ambao hatakaa aupate,
  Anaonyesha wazi nia yake ya kupata madaraka makubwa, wala sio kuhudumia wananchi masikini watz.
  Kiongozi kama yeye hasa wa kambi ya upinzani alitegemewa kuwahudumia na kuwatetea wananchi katika ngazi yoyote ya uongozi.
   
 8. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Bado Maalim hajamruhusu. Yeye anakwenda kwa maagizo ya boss wake maalim, ndo maana hata ktk kampeni akigombea urais bara na maalim visiwani, yeye hupewa 15% ya fungu la kampeni kuzunguka bara yote yenye watu 40m na maalim hubaki na 85% kufanyia kampeni zanzibar ya watu 1.5m. Huyo ndo mzee wa uchumi bwana.
   
 9. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hata uenyekiti wa wafuga mbwa hapati!kazi kazi kunyoa kisahani tu!mapumba ndie alikua mshauri wa uchumi enzi ya mwinyi!
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  siyo mbaya
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa jinsi asivyokubalika hata akigombea udiwani kwao hapati.
   
 12. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu mtume wa mnyaaazi mungu
   
 13. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yupo mtu kati ya wale waliopiga cm alisema, Lipumba anakubalika sana kimataifa, lakini cha ajabu sie Watz hatumthamini! Dalili zinaonyesha wazi kuwa maneno hayo yana ukweli.
   
 14. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  asahau? Kivipi?
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Anapata wapi MORAL AUTHORITY ya kudharau UBUNGE kwamba si size yake? wakati katika kumbukumbu zetu tunafahamu kwamba hajawahi kuchaguliwa hata kuwa Mwenyekiti wa mtaa/kitongoji?

  Kama lengo lake ni kusimamia uchumi wa KITAIFA kwanini basi asiwe MSHAURI wa UCHUMI wa Maalimu Seif ili aweze kusimamia uchumi wa TAIFA la ZANZIBAR?
   
 16. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  acha upumbavu wewe, kwani ni lazima ukomenti?
   
 17. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mbunge akiteuliwa kuwa waziri bado anasimamia uchumi wa Jimbo au Taifa?

   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Rip cuf
   
 19. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,466
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ni mzuri na anasitahili kusema ila HAAMINIKI ni kama Mkuro tu
   
 20. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asiponde kwa kuseam jimbo ni sehemu ndogo sana... Anatakiwa akagombee ubunge na kushinda.. Maana haiingii akilini tangu 1995 yeye anagombea tu na kushindwa..
   
Loading...