Updates za Kikao cha bunge Dodoma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Updates za Kikao cha bunge Dodoma.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Apr 12, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Waziri mkuu Pinda anajibu maswali ya papo kwa hapo.

  Sijapenda alivyojibu swali la nyongeza la Kaliuki,Alihtaji kujua kauli ya serikali kuhusu malipo ya wafanyakazi wa TAZARA,bada ya kujibu kama waziri yeye akajibu Mh kaliuki Nimesema hela hiyo tutazilipa kwa awamu.
   
 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasimuulize maswali magumu asije kuanza kulia bure mzee wa watu!
   
 3. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo la Pinda hana maamuzi magumu kama waziri mkuu.

  Anatupotezea time tu mpaka 2015.
   
 4. Jaji

  Jaji Senior Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ni mzigo tu. Kwanza hayo maswali hayana umuhimu kwani majibu yake hata mtoto anajibu.
   
 5. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  kati ya watu ambao siwapendi ni huyo jamaa, yupo kisanamu sanamu. huwa hana maamuzi kabisaaaa. tunajiongezea mzigo kwenye future pensiners
   
Loading...