Leo ni miaka 28 toka kifo cha Sokoine bado tunakukumbuka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni miaka 28 toka kifo cha Sokoine bado tunakukumbuka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchochezi, Apr 12, 2012.

 1. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  habari wadau wa jamvi leo ni miaka 2b toka kifo cha mpendwa wetu Waziri Mkuu Edward Sokoine kilichotokana na ajali ya gari ya utata. Je Kizazi cha sasa kinamuenzi vipi shujaa wetu huyu? Hivi mpaka leo bado hatujajua kuhusu ukweli wa kifo chake?
  Nawasilisha!
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ukweli wa kifo chake utasaidia nini kwa sasa? tunatakiwa kukumbuka mazuri yake ........ alikuwa ni jembe la kweli, msiba wake ulimtikisa sana Mwl Nyerere na watanzania wengine kwa ujumla watu
   
 3. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  ila kujua kifo cha shujaa kama yeye ni muhimu kwa historia ya nchi yetu!
   
Loading...